Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwelii mkuuu maisha haya sio kuzubaaa.
Ila kusalimia sio mbaya dunia hii tunawaza mengi mnapokua kimya...
Ndio hivyo
Wapo ambao nawasiliana nao PM, wapo ninaochat nao WhatsApp,wapo ambao nakutana nao face to face
Hivyo sio kwamba "sisalimiani" na wana ......
Nje ya Jf tupo ambao tushakuwa maswahiba kiasi kwamba hatulazimiki "kuongea sana" Jf
........
 
Huhuuuu bado unachapia kama kawaida..

Nitumie pm no yako ya wasap bro tuwe tunasalimiana....
Hahahahaaa

Sio kwamba kila mtu huwa nampa au ananipa tu # yake bali inatokeaga tu watu tunaaminiana,thaminiana,tunziana siri n.k
Hivyo ni kwa wake tu wanaoheshimu privacy

Muda wako mwafaka ukifika tutajuana tu
Usiku Mwema
...........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom