Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaaahaaaaaaaaaa rafiki huo uongo sasa kipindi kile mwaka jana mwez wa kuanza hadi wa sita nilikua nakupa likes za kufa mtuu..
Nikasitisha huduma kwa muda ndio nimeanza upya dear..
Mmh labda sio shunie mm hapana aisee likes nimeanza kuziona jana tena kuna siku kwenye uzi wa kupeana likes Numbisa alikuuliza kwa nini hutoi likes we mtu sikumbuki ulichomjibu sijui ulimwambia simu yako mbovu haitoi likes
 
Unakumbu kumbu balaaa...
Kama utakumbuka mwaka jana nilipatwa na tatizo la kuibiwa Laptop, simu na begi dogo. So nikawa na mdoli flani hv kutoa like unazingua ila Mungu mkubwa nimeweza kujichanga na kununua laptop na simu. Though I prefer to use Pc for browsing JamiiForum...
 
Me Nina kumbu kumbu acha tu pole sana kwa kuibiwa
 
Asavali leo umemkamata patamu huyuuu huyuuu mondray likes zake kama ukame wa makombe Emirates. Nilidhan akiondoka Wenger(ID mondray na gentries) akaja kocha mwingine(Da'vinci)likes zitamwagwa kama kawaida kumbe nalikua najidanganyaa
Mmh labda sio shunie mm hapana aisee likes nimeanza kuziona jana tena kuna siku kwenye uzi wa kupeana likes Numbisa alikuuliza kwa nini hutoi likes we mtu sikumbuki ulichomjibu sijui ulimwambia simu yako mbovu haitoi likes
 
Asavali leo umemkamata patamu huyuuu huyuuu mondray likes zake kama ukame wa makombe Emirates. Nilidhan akiondoka Wenger(ID mondray na gentries) akaja kocha mwingine(Da'vinci)likes zitamwagwa kama kawaida kumbe nalikua najidanganyaa
Ndugu toka ameingia jf jana ndio naona likes zake kwakweli nilishangaa sijamzoea hivyo
 
Muziki: Usiangalie Picha, Hutofikiri

...huwa nakuja mida hii kwa minajili ya kukutana nawe Kapuku mheshimika, nakusalimia na kisha tunabadilishana mawili matatu kutakiana usiku mzuri baada ya mihangaiko ya siku nzima. Naposema siku nzima sijawasahau wengine ambao kwao ndo kwanza sasa hivi ni saa sita mchana, JF ni kama bahari, ukilala wewe, wao wanaamka.

Nilikaa nikapiga story na anko wangu mnayemfahamu humu, yeah, kaadimika siku hizi maana alisafiri kwenye business zake na kiukweli business nazozijua kumbe aliamua kuongeza wigo akawa mtaalamu wa mambo ya forex, kila jumapili anakaa kwenye tv kuangalia nani kashinda tatu mzuka na biko ili amuunganishe na mambo ya hela ya mtandaoni, anaiita fursa kwenye fursa.

Ila kanikumbusha kitu muhimu sana juzi, kanambia unajua anko kama hutaki kufikiri basi usiangalie picha, na kwa kuwa unaongea sana basi kukata mdomo inabidi uwe unasoma wengine wanawaza nini. Nikachoka maana anko wangu busara zimejaa na pamoja na kuwa na nyumba nyingi bado akili yake iko timamu naamini hakuna aliyeamua kumlisha limbwata.

Muziki sasa, nakukumbuka sana mdau na wewe kuwepo hapa huwa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri sana

Similar Discussions

Back
Top Bottom