BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nawaombea sanasana ....najua Mungu atatenda mileleNimeuteka tena sio kwa muda..! Nimeuteka milele [emoji3][emoji3][emoji3]
Amina
Nawaombea sanasana ....najua Mungu atatenda mileleNimeuteka tena sio kwa muda..! Nimeuteka milele [emoji3][emoji3][emoji3]
Amina
Nishamwambia kuwa kuna ubuyu unataka kumpa kwahiyo tulia atakupigia tu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Anko Obe popote ulipooo nibipuuuu
Popopopooooooooooooo jana siku yangu iliisha vizuri sana hawa chura wangeshinda tungekoma mjini halaf ukiona simba katolewa kwenye mashindano yoyote juwa yanga anafatia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Popopopooooooooooooo jana siku yangu iliisha vizuri sana hawa chura wangeshinda tungekoma mjini halaf ukiona simba katolewa kwenye mashindano yoyote juwa yanga anafatia
He he aibu yao chura churani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mambo ya kupasia kipa
Asante mama mchungaji, nawe piaHeri ya mwaka mpya Shululu Mungu akubariki
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nishamwambia kuwa kuna ubuyu unataka kumpa kwahiyo tulia atakupigia tu[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nasikia wakitoka zanzibar na boti, moja kwa moja jangwaniPopopopooooooooooooo jana siku yangu iliisha vizuri sana hawa chura wangeshinda tungekoma mjini halaf ukiona simba katolewa kwenye mashindano yoyote juwa yanga anafatia
Kwenye mafuriko...Nasikia wakitoka zanzibar na boti, moja kwa moja jangwani
[emoji3][emoji3][emoji3] hakufai na mafuriko haya nilipita juzi mitaa ya huko mpaka hurumaNasikia wakitoka zanzibar na boti, moja kwa moja jangwani
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji7]Asante mama mchungaji, nawe pia
Naomba niwe napiga deiwaka...nimejaribu kuku'dipu' kwa kutumia landline ttcl lakini haukunipigia back?
MAmbo yanaendaje lakini anko? Kwangu ndo kama hivyo tena, nimenunua bodaboda! Hivi ninahitaji nini? Kujifunza kuiendesha au nikate leseni?
[emoji3][emoji3][emoji3] tumosa hujambo?Naomba niwe napiga deiwaka
Cjambo vp T wa Sakayo[emoji3][emoji3][emoji3] tumosa hujambo?
Naomba niwe napiga deiwaka
Ntajifunza ucku kesho mzigoni helment c ipo pamoja na pkpk..una leseni, helmet? Au ndo unataka kujifunzia kwenye bodaboda yangu mpya!?
Naomba lift mie...nimejaribu kuku'dipu' kwa kutumia landline ttcl lakini haukunipigia back?
MAmbo yanaendaje lakini anko? Kwangu ndo kama hivyo tena, nimenunua bodaboda! Hivi ninahitaji nini? Kujifunza kuiendesha au nikate leseni?
Ntajifunza ucku kesho mzigoni helment c ipo pamoja na pkpk