Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE

Tunakushukuru Baba Mungu kwa Upendo wako mkuu ni siku nyingine Mpya ya JUMANNE TAREHE 2JANUARI 2018 ni kwa Neema Baba na Upendo Mkuu umetuchagua nasi ili kuuona utukufu wako Asante Baba.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosa kwa mawazo maneno na matendo.

Tunakuomba tusaidie kuwasamehe pia waliotukosea walioomba msamaha na hata wasioomba .

Tunakuomba Utulinde Utuongoze na Utubariki.
BARIKI KILA KAZI HALALI YA MIKONO YETU.

Angalia Yatima Wajane Wagane Wafungwa na Waliokata tamaa wape tumaini jipya na faraja.

Ponya Wagonjwa majumbani na mahospitalini Baba kaa na familia zetu Ndoa zetu Wake Waume Watoto Wasaidizi wa ndani majumbani ndugu jamaa na marafiki.

Ukawe dereva wa kila chombo cha usafiri na kila msafiri Majini Nchi kavu Angani akawe salama Damu ya Yesu itufunike .

Tupe Amani na mshikamano katika familia,makundi,makanisani na nchi nzima .

Amani yako itawale epusha migogoro tupe kuchukuliana mizigo kwa upendo na uvumilivu.

Baba Asante kwa kuwa Unatupenda sana sana na utatenda sawasawa na mapenzi yako.

TUNAOMBA NA KUSHUKURU NI KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN

SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Amen
 
IMG-20180102-WA0001.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom