Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Jiongezeeee mkubwa weweHahaaaa sishei,asa kama mtu ananiambia namfananisha nifanyaje si ndo namsubiri namimi wangu aje
Jiongezeeee mkubwa weweHahaaaa sishei,asa kama mtu ananiambia namfananisha nifanyaje si ndo namsubiri namimi wangu aje
Una ugomvi na Mimi,nimetoka stress free zone kukusaka nimekukosaJiongezeeee mkubwa wewe
Ugomvi ganii tena jamanUna ugomvi na Mimi,nimetoka stress free zone kukusaka nimekukosa
Mmekata keki na kufungua shampeini pekee yenuUgomvi ganii tena jaman

Hivi ningekutafutia wapi mm labda ulikua shimoni kule kwenye dhahabu machimboniMmekata keki na kufungua shampeini pekee yenu![]()
![]()
![]()
USIYAKUMBUKE MAMBO YA ZAMANI, 2017, MAGUMU NA MACHUNGU ULIYOPITIA KWA MAANA BWANA MUNGU ATACHIPUSHA JAMBO JIPYA 2018 . Haleluiya ubarikiwe kaka...niko mbali kidogo..nitakutafuta nikirudi Heri ya mwaka mpyaMama mchungaji Mimi nipo kwa mchungaji mwasongwe airport ya zamani naukaribisha mwaka mpya..cc Blessed Hope
Haleluiya ubarikiwe kaka...niko mbali kidogo..nitakutafuta nikirudi Heri ya mwaka mpya
Heri nawe ubarikiweKheri ya Mwaka Mpya Makapuku wenzangu..
Obe mzima?
Kheri ya Mwaka Mpya Makapuku wenzangu..
Haleluiya ubarikiwe kaka...niko mbali kidogo..nitakutafuta nikirudi Heri ya mwaka mpya
Misa takatifu ya mkesha wa Mwaka mpya hujashiriki..?
....na kwako pia mdau. Pamoja sanaHappy New year 2018 makapuku wote.
Mungu awalinde na muwe na mwaka wa mafanikio.
Hivi ukiona mwanaume anasema mwenzake ana kibamia anamaanisha nini?Jamani hebu acha hizo huyo mumeo mwenyewe ana kibamia
