Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
We nitumie bhana nitakutumia picLoooooh kinakabwaa mpaka kivuliii?
We nitumie bhana nitakutumia picLoooooh kinakabwaa mpaka kivuliii?
Hivi alikuwa anataka kwenda kupigana ama ni nini? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ninii hiyo ndio aliyokunywa sakayo
AminaAmen ubarikiwe
Hahahhaaa! Nacheka mabaya ujue..
NdiwooooEeh...poleni na hongeren
So tutegeme vitoto vingine vya makapuku eeh..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We nitumie bhana nitakutumia pic
Ebu ngoja kwanza T hiko ni kinywaji ganiHivi alikuwa anataka kwenda kupigana ama ni nini? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sakayo ni changamoto aise
Una niniii lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee sakayo atakuwa kanywa hivyo hivyo...hii ina moto, kama powerball inabidi uipoze na mabonge ya barafu. Inatibu jino, fyi, ndo maana huwa nainywa
Niitie mpendwa sakayoUna niniii lakini
Sakayo anaumwa kanywa kungfu hukoNiitie mpendwa sakayo
Mmmh...sawa shemNdiwoooo
Energy drink za kichina hizo best.Ebu ngoja kwanza T hiko ni kinywaji gani
Hata simu hapokei sasa hivi..Sakayo anaumwa kanywa kungfu huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu tu angekunywa kile kinywajii chako?Sakayo anaumwa kanywa kungfu huko
Aiseee akunywage redbull tuEnergy drink za kichina hizo best.
Atakuwa kalalaHata simu hapokei sasa hivi..
I am worried..
Hiyo kungfu unaijua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu tu angekunywa kile kinywajii chako?
Bora angekula beer/wine tuu tukajua amelewa..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu tu angekunywa kile kinywajii chako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] boraaBora angekula beer/wine tuu tukajua amelewa..