Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Kwahiyo ndio umeachwa au[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]yamenishuka shuuuuu loool....
Kwahiyo ndio umeachwa au[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]yamenishuka shuuuuu loool....
Nakupenda sana binti yangu ubarikiwe[emoji173]Kuelekea kuumaliza mwaka 2017
Ndugu zangu wana kf mmekuwa watu wema kwangu nikiingia najickia amani coz mmekuwa kama ndg kwangu sometimes nje ya jf maisha yanakuwa full stress lakini ninapokutana nanyi naona kama nmepunguza mzigo hivyo nitumie wasaa huu kuwashukuru wote na kuwasihi muendelee na moyo huu kwa mwaka tunaotarajia kuanza hapo baadae
Shukrani za pekee zmuendee my hubby Shululu aka baba wawili
Mwisho ombi kwa binamu Obe nichagulie kibao kizuri kicndkize salam hizi za mwaka mpya kwa wanakf
Nawapenda sana
View attachment 664433
Ujue na ukumbukeee nilikwambia hilo jino upigwee kafutiii ukagomaaa....unaonaa sasa
Sijui nikuite jina lako au wifi naogopa kuambiwa nimekufananisha na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EeeKheeeee
Itakuwa ni lyon lee rapa wallah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo uliyemkuta ni Lyon Lee rapa au mbavu zangu
Yaan hata mi naona giza tu hapaKwahiyo ndio umeachwa au
He he we niite tu unavyojiskia tu mm ni yule yule shunie hakunaga mwingineSijui nikuite jina lako au wifi naogopa kuambiwa nimekufananisha na wewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inawezekanaItakuwa ni lyon lee rapa wallah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan hata mi naona giza tu hapa
Ooo jaman mi nakuita wii,hata kama mume hayupoHe he we niite tu unavyojiskia tu mm ni yule yule shunie hakunaga mwingine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] akome kumkopy mai hazibandi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inawezekana
Nakusalimiaaa mimi hapa na nipo mjinii [emoji4] [emoji4] [emoji4] tayar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo uliyemkuta ni Lyon Lee rapa au mbavu zangu
Nini tenaMbavu zangu mie. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujumbe umeupataa?? Leo umepatikanaHa hahahaha, sasa na yeye kaja halafu kajidai kuwa hakumbuki nimemwambia anieleweshe nini?
Ujumbe umeupataa?? Leo umepatikana
Shangazi wako mm sina cha kusema make mnajuana nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23]...niupate wapi anko, aunt yangu anajijua kabisa mimi kwake ni kama mwenye mapengo na popcorn. Hawezi kunielewesha hata kama kalewa, atabaki kunishangaa tu kama kakatikiwa shanga kwenye daladala za Mbezi.
kwanini Mbezi, huko wengi hawazivai
Mbona hujaniagaNakusalimiaaa mimi hapa na nipo mjinii [emoji4] [emoji4] [emoji4] tayar