Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Hahahahahahaha kumbe fundiii mambo yalitikiiiiii ....nilikutana nae katingaa kiminiii nikasema apa ankoo lazima aongee saa yake.....ha hahaha, nauli iliishia njiani maana angekuja tungelala kama kwenye karata, mzungu wa nne. Nilienda kule kwa yule 'fundi'