ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
Asantee...yaani hata mimi nimecheka sana uliposema uko dabo
Asantee...yaani hata mimi nimecheka sana uliposema uko dabo
Jamani hebu acha hizo huyo mumeo mwenyewe ana kibamia
Usishangee ni 2 in 1...mmmh! Ulijuaje? Au wewe ni ke?, au
Hahahahaa kapagawa huyo
Alafu we ngosha acha zako...mmmh! Ulijuaje? Au wewe ni ke?, au
Nawaangalia tuuHuyu atakuwa katamani avatar labdaa ebhu usikubari kabisaaa
Anko unaweza kurudii ulikotokeaaa kwa mfano lakini?
MxieeeeeeeeeeeewUsishangee ni 2 in 1
Shaka ondoaaNawaangalia tuu
MmmhAta sijuiiiii ebhu nimuachee apambanee na obe
Alafu we ngosha acha zako
Ujue na ukumbukeee nilikwambia hilo jino upigwee kafutiii ukagomaaa....unaonaa sasa...mimi bhana tangu nitoe jino la hekima (wisdom tooth) sielewi mengi. Ngoja aje mtu pekee anayenipenda humu na bahati nzuri ni shangazi yangu Shunie , atanielewesha maana anajua akili yangu imejificha mbali kama nyeti
WeJamani hebu acha hizo huyo mumeo mwenyewe ana kibamia
Bipi lakini ulimtumia nauliii make najua umelala miguu minne..ha ahahahaha, leo jpili ya mwisho wa kwetu, usiifanye kuwa ngumu sana bhana.
Bipi lakini ulimtumia nauliii make najua umelala miguu minne
Aghhh hadi nimekosea
Ahhhhh...huo muda sina...ndo ufanye jitihada umpepeee
Ah hamna kitu jameni...umekosea nini tena jameni