Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Nakusalimiaaa katika jina la yuleeeeee wa moshiiiiiiiii
...yule wa Moshi si nasikia katekwa Krisimasi hii au hujaambiwa
Nakusalimiaaa katika jina la yuleeeeee wa moshiiiiiiiii
...kwa kweli iwafikie na waifurahie sana, tatizo wameziba masikio waliposikia tu umedhamini nyimbo
![]()

Wimbo boraa wa kufungia mwaka kwanguu
Kutekwaaa rahaaa asikudanganyee BH...yule wa Moshi si nasikia katekwa Krisimasi hii au hujaambiwa
Anko nakwambiaa huu wimbo mtamu balaaa yaani ni kitendo cha kutoa uwakilishii wa she ukaweka he ...mambo mukdeeeee mwaka unaishaaa huooHa hahahhahha, siongezi kitu anko, wewe ni ndugu yangu kabisa lakini kwa hapa pambana na hali yako isiniathiri mimi
Yupo atakuwa kashalala japo ulitakiwa na wewe ulaleee...sijui yuko wapi leo BlessedHope
Yupo atakuwa kashalala japo ulitakiwa na wewe ulaleee
Anko na mm nipo naangalia hao majamaaa...nimetoka asbh ila ugenii unafuatiaa keshoo kutwa...mimi nipo nawaangalia Liverpool na Arsenal hapa, no presha nagonga mvinyo tu. Nakupongeza wewe kwa kuwa muda huu umelala, upo kaskazini ya Tanzania au uko mitaa ya siku zote
Nyagei upoShwari kabisa, Uko poa ndugu?
Nyagei
Tupo mkuuJamani, wazima humu ndani!?
Shemeji niajeDuuuh baby hiyo VIP?
ZABURI 4
...sijui yuko wapi leo BlessedHope

...si ndo hata mimi nikashangaa, nikajiuliza labda shetani kakupitia maana uzee dawa muulize BH

Muziki: Mdhamini Anamsubiri Fundi Nguo
...kama kuna watu watata basi kofia nawavulia mafundi nguo, sio wote ila wengi wao ni vimeo mbaya yaani wanaweza kukupa ahadi huku wanatabasamu kabisa kuwa ' bhanaweee njoo uchukue nguo yako jioni nitakuwa nimeimaliza' sasa fika jioni, unakuta anakukaribisha na uso wa kilio huku anakata nguo nyingine kabisa. Kitakachoendelea ndo utamalizia maana Shunie ndo kanikumbusha kuhusu sikukuu na nguo mpya
Furahia chaguo la mdhamini wetu ambaye kwa bahati nzuri katokea kuwa ni mke wa anko wangu mdogo wa Lyon Lee
Muziki: Wikend ya Sikukuu
...habari za Ijumaa Makapuku wenzangu, sijambo na kadri mwaka unavyoelekea kuisha ndo najiona hikma (wisdom) nazo zinazidi kuongezeka kwa hiyo kwa wote wenye kutaka ushauri nasaha basi ninawakaribisha kwa a very reasonable fee, yeah, utalipia hekima utakazokutana nazo kwenye ushauri wangu. Hakuna cha bure, kama vyuma vimekaza tafuta plastic yenyewe inafuata unavyoielekeza.
TGIF na kama unavyojua huwa ni wakati wa kujirusha bakulutu kidogo, kusikiza story za wadau na zaidi kulichangia kodi taifa letu kwa kunywa na kula. Sio unakula nyumbani Monday to Sunday, siku nyingine unavamia kwa friends mida ya msosi na unawaharibia ratiba zao. Ndo utamaduni huo. Na Ijumaa unakaa sehemu na friends unaangusha moja moja pamoja mmojammoja. Kama una mpango wa kutegemea mfuko wa mwenzako basi mjulishe mapema usijekutana na wasio na haya kama anko wangu ambaye yeye anaweza kuagiza bia mbili kwa mkupuo na akazinywa huku anakuangalia kwa tabasamu ambalo ni kama linasema 'mhudumu huyu hapo, muite uagize mbili kwa hela yako'.
Muziki sasa, ninakukumbuka wakati wote kapuku mheshimika na sitochoka kukwambia kuwa bila wewe jukwaa hili linabaki kuwa debe tupu, lakini kwa uwepo wako hapa, tumekuwa sio mfano tena bali original. It's furahiday and wishing you a happy almost Christmas with love
Asante Obe Ubarikiww
Nimemaliza kuangalia soka, wameishia kuchonga madroo tu na mimi kama kawaida katika kuelekea Krismasi leo natupia nyimbo mbili za sikukuu hii nzuri
...huyu hapa ni jirani yetu
...na hawa ndo kule snow inapoanguka sasa hivi
