Makapuku Forum

Makapuku Forum

Comment zako zote zimenipa kicheko mtetemo


castleevil-laugh.gif
 
Muziki: Mdhamini Anamsubiri Fundi Nguo

...kama kuna watu watata basi kofia nawavulia mafundi nguo, sio wote ila wengi wao ni vimeo mbaya yaani wanaweza kukupa ahadi huku wanatabasamu kabisa kuwa ' bhanaweee njoo uchukue nguo yako jioni nitakuwa nimeimaliza' sasa fika jioni, unakuta anakukaribisha na uso wa kilio huku anakata nguo nyingine kabisa. Kitakachoendelea ndo utamalizia maana Shunie ndo kanikumbusha kuhusu sikukuu na nguo mpya

Furahia chaguo la mdhamini wetu ambaye kwa bahati nzuri katokea kuwa ni mke wa anko wangu mdogo wa Lyon Lee


Wimbo boraa wa kufungia mwaka kwanguu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom