Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Asante Obe kwa music![]()
Usiku mwema kaka na weekeend njema kwako. Pamoja sasa
Asante Obe kwa music![]()
Naanzaje kukupa busu mie we mzee
hahaha loooh, busu la shavu lageuzwa kuwa msonyo juu kwa juu

He he basi acha niendelee tu kukuchekesha
shululu upoNyagei upo
Nipo mwifwashululu upo
Nipo kaka, salama engineer wetu?Nyagei upo
Salama kabisa, za kwakoNipo kaka, salama engineer wetu?
Muziki: Mdhamini Anamsubiri Fundi Nguo
...kama kuna watu watata basi kofia nawavulia mafundi nguo, sio wote ila wengi wao ni vimeo mbaya yaani wanaweza kukupa ahadi huku wanatabasamu kabisa kuwa ' bhanaweee njoo uchukue nguo yako jioni nitakuwa nimeimaliza' sasa fika jioni, unakuta anakukaribisha na uso wa kilio huku anakata nguo nyingine kabisa. Kitakachoendelea ndo utamalizia maana Shunie ndo kanikumbusha kuhusu sikukuu na nguo mpya
Furahia chaguo la mdhamini wetu ambaye kwa bahati nzuri katokea kuwa ni mke wa anko wangu mdogo wa Lyon Lee
Njema kabisa kakaSalama kabisa, za kwako
Nimemaliza kuangalia soka, wameishia kuchonga madroo tu na mimi kama kawaida katika kuelekea Krismasi leo natupia nyimbo mbili za sikukuu hii nzuri
...huyu hapa ni jirani yetu
...na hawa ndo kule snow inapoanguka sasa hivi
ZABURI 121ZABURI 121
1.Nitayainua macho yangu,msaada wangu utatoka wapi.
2.Msaada wangu ni katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
3.Asiuache mguu wako usogezwe;asinzie akulindaye
4.Naam ,hatasinzia wala hatalala usingizi,Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
5.BWANA ndiye mlinzi wako,BWANA ndiye mlinzi wako BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6.Jua halitakupiga mchana ,wala mwezi wakati wa usiku.
7.BWANA atakulinda na mabaya yote Atakulinda nafsi yako .
8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na hata milele.
SIKU NJEMA

TUOMBE:



Vipi mihangaiko ya kutafuta girisiNipo mwifwa
Amen mama mchungaji Asante kwa nenoZABURI 121
1.Nitayainua macho yangu,msaada wangu utatoka wapi.
2.Msaada wangu ni katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi.
3.Asiuache mguu wako usogezwe;asinzie akulindaye
4.Naam ,hatasinzia wala hatalala usingizi,Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
5.BWANA ndiye mlinzi wako,BWANA ndiye mlinzi wako BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6.Jua halitakupiga mchana ,wala mwezi wakati wa usiku.
7.BWANA atakulinda na mabaya yote Atakulinda nafsi yako .
8.BWANA atakulinda utokapo na uingiapo Tangu sasa na hata milele.
SIKU NJEMA
TUOMBE:
Baba yetu na Mungu wetu tunakushukuru sana kwa wema wako na Ulinzi wako hata kutufikisha siku hii ya leo JUMAMOSI 23 DESEMBA 2017 wako watu wengi walitamani kuiona siku ya leo,wakiwa na mipango mingi , haijawezekana. Baba Sifa Shukurani Heshima Utukufu ni kwako Mfalme wa Amani.
Tunakuomba utusamehe makosa yetu yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali
Utulinde siku ya leo Utukinge na ajali na hatari zote Ukawatume Malaika Walinzi Kila tunapokuwa Baba na Utupe nguvu ya kukutumikia wewe.
Wabariki watu wote katika Familia zetu Wasaidizi wetu wanandoa Watoto Ndugu Jamaa na Marafiki Damu ya Yesu itufunike.
Walinde wenye mahitaji na shida mbalimbali Ponya Wagonjwa Fariji Wafiwa ,Wajane, Wagane, Yatima, Wafungwa na wote Walioumizwa na kukata tamaa wape Tumaini Baba.
Walinde Wasafiri wote Majini Nchi kavu Angani uwe Dereva Utufunike kwa Damu yako ya Thamani Tutokako na Tuendako Tuwe salama,tuepushe na ajali za aina yoyote.
Bariki kazi zote za mikono yetu Ukaonekane kwetu katika Ajira Ujasiriamali Biashara tupate riziki halali na tukutumikie vyema.
Mungu wetu na Baba yetu tunakuomba utusaidie tuwe na Upendo wa kweli tukawe msaada kwa wenzetu kimwili na kiroho na tusipungukiwe Baba tuitende kazi yako bila kuchoka.
Asante Baba kwakuwa Unatupenda na Utatutendea sawasawa na Mapenzi yako Tunaomba haya yote kwa Jina la takatifu la Yesu Kristo tukiamini na kushukuru Amen.Nawatakia siku njema yenye Baraka Damu ya Yesu itufunike Amen![]()
