Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Vivuruge wote wanaojijua iwafikie hiyo nyimboHahahaha...
Vivuruge wotee [emoji3][emoji3]
Vivuruge wote wanaojijua iwafikie hiyo nyimboHahahaha...
Vivuruge wotee [emoji3][emoji3]
Hakuna kingine binamu ni nyimbo tu
Binamu santeee [emoji7]Muziki: Mdhamini Anamsubiri Fundi Nguo
...kama kuna watu watata basi kofia nawavulia mafundi nguo, sio wote ila wengi wao ni vimeo mbaya yaani wanaweza kukupa ahadi huku wanatabasamu kabisa kuwa ' bhanaweee njoo uchukue nguo yako jioni nitakuwa nimeimaliza' sasa fika jioni, unakuta anakukaribisha na uso wa kilio huku anakata nguo nyingine kabisa. Kitakachoendelea ndo utamalizia maana Shunie ndo kanikumbusha kuhusu sikukuu na nguo mpya
Furahia chaguo la mdhamini wetu ambaye kwa bahati nzuri katokea kuwa ni mke wa anko wangu mdogo wa Lyon Lee
Tatizo umekariri nyimbo zako tuu...najua hakuna kingine isipokuwa ni wimbo tu, halafu ujue nyimbo unazochagua huwa zinanifanya njitambue kuwa sijui kwanini sikuwa naijua miziki mizuri. Itabidi nibadili station ya radio nayosikiza kila siku.
Vivuruge wote wanaojijua iwafikie hiyo nyimbo
Ahahhaha hata kama wameziba wataisikia tu kiulazima...kwa kweli iwafikie na waifurahie sana, tatizo wameziba masikio waliposikia tu umedhamini nyimbo
![]()
AbeehShunie
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu obe, mi simo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]sikukuu keshokutwa na fundi hajamalizia nguo ya kutokea, kwa hiyo kila anayekaa mbele yake anaonekana kama fundi, nawaza tu
ShuniiiiieeVivuruge wote wanaojijua iwafikie hiyo nyimbo
Ungekuwa unaishi jirani nami ningekuwa nakuja kwako daily kutafuta kicheko[emoji3] [emoji3] [emoji3]Cheka tu hakuna namna maisha yenyewe mafupi haya
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] sikukuu hiyooooooBinamu nimekuwa mtoto enh nasubiri nguo ya sikukuu kwa fundi
Huo msonyo veepeeeMfyuuuuu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
He he ukanikimbuka eenhShuniiiiiee
Wewe sheeeeda.
Clouds wanapiga huo wimbo now [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Woiiii kwahiyo nachekesha kumbeUngekuwa unaishi jirani nami ningekuwa nakuja kwako daily kutafuta kicheko[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimemsonya binamuHuo msonyo veepeee
Nimekukumbuka shemela kweli...He he ukanikimbuka eenh
Ahahhaha ndio hivyo shemela iwafikie vivuruge tu hakuna namnaNimekukumbuka shemela kweli...
Wanajijua huko waliko. [emoji3][emoji3]Ahahhaha ndio hivyo shemela iwafikie vivuruge tu hakuna namna
Comment zako zote zimenipa kicheko mtetemoWoiiii kwahiyo nachekesha kumbe