Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nimetulia toka dunia iumbweDuh!! Basi wacha niongeze kufanya ibada, mpaka mtukutu nyagei katulia, dunia kweli inaelekea mwisho.![]()
![]()
![]()
Nyagei
Nimetulia toka dunia iumbweDuh!! Basi wacha niongeze kufanya ibada, mpaka mtukutu nyagei katulia, dunia kweli inaelekea mwisho.![]()
![]()
![]()
Mi namshukuru munguVipi hali ndugu yangu!?
Labda kama dunia imeumbwa jana usiku..Nimetulia toka dunia iumbwe
Nyagei

Itakuwa ya kufyatuaKazi gani tena iyo
KalalaYuko wapi mwenzio
Nina taarifa zakoKalala
MkuuLabda kama dunia imeumbwa jana usiku..![]()
![]()
ShukraniView attachment 650680Asubuhi njema wadau
UwiiiiiiiiiiiNina taarifa zako
Nitafute kwa mda wako ....no salamu kwa leo
Ila wewe nimeinuaa mikono juu ....weee kibokooo kobokooo kabisaaaaaUwiiiiiiiiiii
Npo hapa Lee jamaniiii, niambieeee
Nasikia ushamuoaa mangeeeeIla wewe nimeinuaa mikono juu ....weee kibokooo kobokooo kabisaaaaa
Wewe usinigombanishe na shunie akamjaza maneno dadake ili nimkoseNasikia ushamuoaa mangeeee
Nipe habari zangu bhanaaaa
Niambie mkuu.Mkuu
Kwema jombaaaNiambie mkuu.
Dah.. mie sijui kama ntakuwa na roho ya kupamba hivi, mapambo hayatokamilika vizur.. kila sehem kutakuwa na mapengo ya matunda..

Mishe ni nini jomba!!?Kwema jombaaa
![]()
![]()
Dah.. mie sijui kama ntakuwa na roho ya kupamba hivi, mapambo hayatokamilika vizur.. kila sehem kutakuwa na mapengo ya matunda..
Uchu wangu naujua mwenyewe![]()
![]()
![]()
![]()

Mishe zinasonga na ukizingatia msimu huu mananasi yamejaa changanya na hali hii january hiyo vyuma vimekazana ....kwani kuna njaa kali mbele ya nanasi??Mishe ni nini jomba!!?