Makapuku Forum

Makapuku Forum

Zaburi 33:13-15
[13]Toka mbinguni BWANA huchungulia,
Huwatazama wanadamu wote pia.
[14]Toka mahali pake aketipo
Huwaangalia wote wakaao duniani.
[15]yeye aiumbaye mioyo yao wote
Huzifikiri kazi zao zote.

*Asubuhi njema Wapendwa*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom