Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
WoyooooooooWewe usinigombanishe na shunie akamjaza maneno dadake ili nimkose
Habar zako ninazo kiganjaniii![]()
![]()
![]()
Kivuli nimekitambua na ninacho unakitaka?
Naomba hicho kivuli naomba mieeee
WoyooooooooWewe usinigombanishe na shunie akamjaza maneno dadake ili nimkose
Habar zako ninazo kiganjaniii![]()
![]()
![]()
Kivuli nimekitambua na ninacho unakitaka?
Maraaaa paaaaapuuuuuuuu mwenye kivuli hakijui kumbe kinajulikana sana ...Woyoooooooo
Naomba hicho kivuli naomba mieeee
Hakuna na haitakuja kuwepo..Mishe zinasonga na ukizingatia msimu huu mananasi yamejaa changanya na hali hii january hiyo vyuma vimekazana ....kwani kuna njaa kali mbele ya nanasi??
HahahaaaaaMaraaaa paaaaapuuuuuuuu mwenye kivuli hakijui kumbe kinajulikana sana ...
Ngoja nimsubirie wa honeymoon akujee kwanza ndo upate vyako livuu
Aisee duh
Kwani mm nimebisha??Hahahaaaaa
Kivuli nnacho mwenyeweeeeee
Hapo umefeliiiiii..... Ila umejitahidi kunikomoaaaa
Naona tunavizianaaaaaaKwani mm nimebisha??
Subiri sasa
Namtumia shunie wozap atakutumia au njoo pmNaona tunavizianaaaaaa
Nasubiri ndiio, nitumie nione sasa
We itume pm nitaikutaa bhanaaaaNamtumia shunie wozap atakutumia au njoo pm
Afu nimefunga PMNamtumia shunie wozap atakutumia au njoo pm
Ona unavochanganya madesa ..We itume pm nitaikutaa bhanaaaa
Sasa mpaka Shunie amuoneee
Afu nimefunga PM
Hebu tuma pm kwa Shunie basi
Shunie ili akuchekeAfu nimefunga PM
Hebu tuma pm kwa Shunie basi
Nshakufungulia bhanaaaaaOna unavochanganya madesa ..
Hapana jamaniShunie ili akucheke
Na kweli umenifunguliaa pm kujimwaga navotakaNshakufungulia bhanaaaaa
Nafunga saiviiiNa kweli umenifunguliaa pm kujimwaga navotaka
Si tushamalizana ata ukifungaaNafunga saiviii
AmenAmen, asante BH kwa nukuu nzuri na mibaraka ya usiku. Naangalia mpira na kwa kuwa ushaniombea basi ukiisha mpira naenda kulala straight.
Usiku mwema kwako pia