Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Nipo aisee brother T... habari gani!?Hahahaaaa..
Joseverest upo mkuu?
sawa my Ex![]()
kidogo tu sio sana
Kimekupeleka nini nataka nijue, kitu ambacho mkeo hawezi jaribu wewe ni nini kilikupa ujasiri?????Huko siwezi
Kwenda aisse! Never
HahaHahahhaa
Watoto wangu usiwaue na kisamvu tuu mama.
Mnalala sana humu
KabisaaaWewe uko macho muda huu?
JumamosiHivi leo ni juma ngapi?
...asante, ni jumamosi ya tarehe ngapi, mwezi na mwaka tafadhari, isije ukawa unaniambia jumamosi ya mwaka 2018 ambayo kesho yake itakuwa jumapiliJumamosi
Najua Unajua level yangu ya adrenaline !Kimekupeleka nini nataka nijue, kitu ambacho mkeo hawezi jaribu wewe ni nini kilikupa ujasiri?????
Hebu tulia bhanaAcheni kukoroma bhana, nina kazi
HeeeNajua Unajua level yangu ya adrenaline !
HahaHebu tulia bhana
Kwan cmu yko haionyeshi yote hayo...asante, ni jumamosi ya tarehe ngapi, mwezi na mwaka tafadhari, isije ukawa unaniambia jumamosi ya mwaka 2018 ambayo kesho yake itakuwa jumapili
