makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,921
- 104,224
Kama nakuona vile unapiga trip zako.yeah, zote ziko huko.kijiji beach unatembea mchangani hadi sunrise
Kama nakuona vile unapiga trip zako.yeah, zote ziko huko.kijiji beach unatembea mchangani hadi sunrise
Usijali shunie ake.. utaianza a mpaka z kama ukitaka.Maka akee inabidi siku nikija huko ufanye ziara ya kunitembeza kwenye hizo beach![]()
Ahsante shunie, mito inanistiri mnoo..Muwe na usiku mwema jamannawapenda damu ya Yesu iwalinde maka akee lala unono ukumbatie mito yako na binamu obe kumbatia yule mmama wako mwenye nini 1500

Supu ya mjomba chatu..PICHA LILIANZIA HAPA![]()
PICHA LIKAENDA KWA MWENDO HUU.![]()

Morng jirani..Morning KF family
Hiv hawa tba wanatuona sisi ni mapopoma sana ee..
Nawe pia jirani.Asubuhi njema wadau
Asante sana Shululu na Dj Obe niTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa dj Obe
kwa kweli mbarikiwe sanasanaMorning Shululu ubarikiwe sanaMorning KF family
Umegoma kunpeleka kwenye uzi wa bange?....Asante mdau, nimefurahi kukusoma this morning
We na cheni wapi na wapiiiii...kaadvance siku hizi, anavaa cheni ya gold, ziko tatu, niko makini nisizikate nikampa faida sonara
Umejuajeeeeeeee yaaan...mmmh! Sina hakika kama umeyaandika wewe. wewe hata ukiniona nataka kujiokoa nisizame lazima unirudishe tena majini
![]()




Ahahhahahh kumnyima mtu kitu unacho dhambiNamii tabia ya uchoyo sijakufunza mdogo wangu.
Inabidi nifanye ziara ya siku mbili huko maka akeeKijiji beach, gendaeka, sunrise beach, kipepeo beach na south beach
Zote ziko huku maskani na nyingine kibao ziko mbali na hapa maskani sijazitaja.
Asanteee ndio mana nakupendaUsijali shunie ake.. utaianza a mpaka z kama ukitaka.
Aahhahahah najuaAhsante shunie, mito inanistiri mnoo..![]()
![]()
![]()
We si ndio mwanzo ulikuwa unatumia Arsen nani sijuikwanini mkuu