makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Ukimaliza weka ya watch na clock(wochi na kloku)...saa nilikuwaga nayo, tena mpya nitaweka picha ya sir
Ukimaliza weka ya watch na clock(wochi na kloku)...saa nilikuwaga nayo, tena mpya nitaweka picha ya sir
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Wacha dharau shemeji.. mumeo ananijua vizuri
Mwambie mumeo akulete kigamboni shemeji..[emoji124] [emoji124] [emoji124]
We tu boss wngu wala hana choyo atanigawia tuNawe ntakupa tuduchu shemela wangu usijali..
Hivi nakunyimaje kwa mfanoWe tu boss wngu wala hana choyo atanigawia tu
Hivi nakunyimaje kwa mfano
Hivi huko ndio ipo kipepeo beach eenh na kijiji beachMwambie mumeo akulete kigamboni shemeji..
Nitakupaaaa sema kingine..., na mimi utanipa?!!
Ahahaaa acha alete dharau zake mapound atayasikia kwa bombaWacha dharau shemeji.. mumeo ananijua vizuri
Ahahhh ulinimiss mm au ulimmiss malkia sandarusNilikumiss boss wngu
Kwa nini shetani yupo hivi jamanTeh teh teh... Shetani nae hatabiriki kadri unavyomshinda ndio anakuja na nguvu zaidi.
We utakuwa mfuta viatu me nmewahi kubeba pochi..., na mimi utanipa?!!
Hivi huko ndio ipo kipepeo beach eenh na kijiji beach
Maka akee inabidi siku nikija huko ufanye ziara ya kunitembeza kwenye hizo beach [emoji4]yeah, zote ziko huko.kijiji beach unatembea mchangani hadi sunrise
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We utakuwa mfuta viatu me nmewahi kubeba pochi
Hebu nielekeze uliko uzi wa bange binamuyeah, zote ziko huko.kijiji beach unatembea mchangani hadi sunrise