Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?
Mimi siyo huyo mama ila naweza kusaidia. Ndiyo inaruhusiwa, katika mazingira fulani fulani yakiwemo yale ya kumpumbaza adui na kumwingiza mtegoni yeye akidhani kuwa mnarudi nyuma kumbe mnamvutia afike mahali ili mmshambulie kwa urahisi zaidi. Strategic retreat ...
 
4b75c9e2ac4eadf162506c7ed327307a.jpg
 
Mimi siyo huyo mama ila naweza kusaidia. Ndiyo inaruhusiwa, katika mazingira fulani fulani yakiwemo yale ya kumpumbaza adui na kumwingiza mtegoni yeye akidhani kuwa mnarudi nyuma kumbe mnamvutia afike mahali ili mmshambulie kwa urahisi zaidi. Strategic retreat ...
Mkuu habari yako kwanza

Hapo umesema kimbinu zaidi
Ila mi vita sijashindwa nataka nipambane kwenda mbele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom