Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ulifkili nilikua naongea tu na panky lake yaan navuta picha yake tu na shirt lake la dog dogHahahahahahahahahahaha kumbe unaongea with vivid.....
Ulifkili nilikua naongea tu na panky lake yaan navuta picha yake tu na shirt lake la dog dogHahahahahahahahahahaha kumbe unaongea with vivid.....
Sikusaidiii chochote....kama wasiponilipisha je, wakataka nisaidie kuviokota tu na kuvipanga, hutonisaidia jamani!?
Nani alipie.....tunakuja na mtumbwi, nimeukodi utalipia sababu twaja kwako
We ndio wa kwanza usiyenipenda na siku ya kuachana na anko wako utafunga na kigodoroAsante sana kwa magazeti aunt yangu. Tunakupenda sana sisi familia hasa mimi na unalijua hilo. Smileeeee ujipige selfie
Si huyo mume mwenzio anajifanya eti ananipenda akwendeee me sio mama wa fursa silei ben 10 mwenyewe nataka kulelewa hapaBen10 ndo nani tena?
Ulifkili nilikua naongea tu na panky lake yaan navuta picha yake tu na shirt lake la dog dog

Wewe kwa wagenNani alipie
We ndio wa kwanza usiyenipenda na siku ya kuachana na anko wako utafunga na kigodoro

Si huyo mume mwenzio anajifanya eti ananipenda akwendeee me sio mama wa fursa silei ben 10 mwenyewe nataka kulelewa hapa

Inategemea na mgeni huwa silipi bure bureWewe kwa wagen
HahaAna uhandsome ganiii au ulivaa miwani ya mbao ile siku kumuangalia
Wakwendreee hukoana manyonyo makubwa hana chura wala shape akiii jf humu hapana jaman
Love you more MomUbarikiwe my daughter za uzima pole na majukumu,Love U and miss U![]()
Kazi njema ubarikiWeHabarin makapuku,
nitakuwa offline kwanzia sasa mpaka jioni kidogo kwaajili ya kujenga taifa letu.
Muwe na usubuhi mwanana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Love you more Mom




itabidi hii nicheke hata kama sijui chanzo....anko, sasa hivi maumivu yamepungua, nimekula madiclopar kama kichaa, kumbe yanasaidia bhana! wikend nimeshinda nasikiza gospel tu wala sijaweza kufanya kitu kingine.
Ila anko siku nyingine misala yako siji hata ukiniita vipi, haya maumivu ni kwa sababu nilikuja kuingilia ugomvi wakati unagombana na mchumba wa Perepetua, jamaa anapiga balaa, vipi mbavu zako
Si ndio zenu hizo viben 10 humu jf mkiachana unakutana na bandiko lako
Nawasalimia tu mimi muwe na jumatatu njema mbarikiwe sana![]()
Ha ha it was a mistaken and i ever deserve such that situationEbu weka ile pic yako kwanza uliyoipost ile siku chit chat mana sakayo aliisifia sijui aliangalia vibayw



