Shunie akija watakupa ufafanuziKesi yenu ni kubwa, baba d akija niite
Mi nilisahau maana nilikuwa safari nje ya nchi
HhahaaaaHahahahaa kumbe anaitwa baba d Aisee yaan ngoja aje ataniambia leo![]()




Tulia weweeWalaa ila nimeanza kuyasikia kabla nikajipa mda kuyachanganua kama ni kweli au la Sasa naona karibia wote mnasema sawa wacha nijitoe tu
Mwambiee wala usiofu ata mcute wangu ndo alimleta hukuNataman kumwambia ila lyon hadi huruma maana mtoto mpya atamponyoka
Lazima pingamizi liwepo haiwezekan empire ayeyuke aibuke lyon na bibie mpyaa kabisa

Ila wewe
Tena vizuri haswaaaNakuonaaaa upo vizuri
Nimetulia baba, Kaja mwenyew nishasahau yoteTulia wewee
Wacha nikupendeeeeeNimetulia baba, Kaja mwenyew nishasahau yote
Mwambiee wala usiofu ata mcute wangu ndo alimleta huku
Mi naona tuwaache kama walivyo maaction na mavitendo ya upendo wetu yatawatoa nishaiTuwafanyejeee sasa



Shem sina cha kusema zaidi kukushukuru kwa keki na suprises zako kwa leo Mungu azidi kukutunza na kukulinda shem lake ....shuny le boss asante mmeninyoosha na baba d ....![]()
Hee ndo maana najiweka kando nisije suntwa mie
Thenki uuu bebe loveWacha nikupendeeeee
Mi naona tuwaache kama walivyo maaction na mavitendo ya upendo wetu yatawatoa nishai![]()
