Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,638
Mume ni wako akiwa kwako!Heee kumbe nimeongopewa Mimi jamanlooh kumbe tupo wengi Sasa nimeanza kumuamini Anko obe
Mume ni wako akiwa kwako!Heee kumbe nimeongopewa Mimi jamanlooh kumbe tupo wengi Sasa nimeanza kumuamini Anko obe
Duhh nimeamini huo usemi walahMume ni wako akiwa kwako!
Ndo hivyo. Kila la kheri mke mwenza, ila mimi nilishamwagwa, namuita ex-hubby.Duhh nimeamini huo usemi walah
Mhhh Kama mambo yenyewe ndo hayo acha nijiengue mapema naogopa aibu mieNdo hivyo. Kila la kheri mke mwenza, ila mimi nilishamwagwa, namuita ex-hubby.
Kha! Kisa cha kuikimbia ndoa bila sababu? Ukisusa wenzio wanajiseviaMhhh Kama mambo yenyewe ndo hayo acha nijiengue mapema naogopa aibu mie
Mhh si kwa udadisi huo au tunashare Mamaa? Bebe wangu ni Lyon Lee from makapuku na nampenda mno
Akaaa kufa na presha nataka hapana mwenzanguKha! Kisa cha kuikimbia ndoa bila sababu? Ukisusa wenzio wanajisevia
Hahahahaa kumbe anaitwa baba d Aisee yaan ngoja aje ataniambia leoHee aiseee hii ni zaidi ya levolusheni ya mugabe haioni ndani huyu huyu lee!!!?
Hivi baba D ni nani sasa au nimemfananisha?
Wala hatushei napita tu majirani muwe na siku njema(nisije suntwa mie)

Kwa hiyo mimi ndo nimesababisha ufanye maamuzi ya kumuacha kipenzi chako cha moyo?Akaaa kufa na presha nataka hapana mwenzangu
Walaa ila nimeanza kuyasikia kabla nikajipa mda kuyachanganua kama ni kweli au la Sasa naona karibia wote mnasema sawa wacha nijitoe tuKwa hiyo mimi ndo nimesababisha ufanye maamuzi ya kumuacha kipenzi chako cha moyo?
Mama mkubwa chikamoooNimekuwa mgeni hapa, kwani huyo ni mke mwingine wa Lee?
Sawa kamanda si tupo tunapambana na hali zetuKwema mkuu tunapigika km mabaga fresh!
Numbisa mzima?Nice. Uwe na siku njema
Marahaba mwanangu, hujambo?Mama mkubwa chikamooo
Kumbe wote wapo sawa, basi hakuna sababu ya kukimbia maana hata huko uendako utayakuta!Walaa ila nimeanza kuyasikia kabla nikajipa mda kuyachanganua kama ni kweli au la Sasa naona karibia wote mnasema sawa wacha nijitoe tu
Shemeji hujambo?Duhh nimeamini huo usemi walah
Ndo hivyo. Kila la kheri mke mwenza, ila mimi nilishamwagwa, namuita ex-hubby.

Shemeji tena! Sio mama mdogo??Shemeji hujambo?
Aaa shemeji umeanza kukata tamaa mapema hivi mbona nilikuhusia mapemaMhhh Kama mambo yenyewe ndo hayo acha nijiengue mapema naogopa aibu mie
Aagh heri niwe peke yanguKumbe wote wapo sawa, basi hakuna sababu ya kukimbia maana hata huko uendako utayakuta!