Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Hahahahahhahah ebhu acha jamani ndoa haina ata mweziLazima pingamizi liwepo haiwezekan empire ayeyuke aibuke lyon na bibie mpyaa kabisa
Hahahahahhahah ebhu acha jamani ndoa haina ata mweziLazima pingamizi liwepo haiwezekan empire ayeyuke aibuke lyon na bibie mpyaa kabisa
Sawa inatakiwa ajibu hizi tuhuma ila tupate ukweli maana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Huyu lee leo kikaangoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana anko ndo alimpa namba mhudumu nikawahi kumstilBe..b unafanya kazi guest[emoji15][emoji15]
Shemeji vumilia utasikia mengi zaidi ya haya pamabana kutetea haki yako ya upendo kwa umpendae[emoji7][emoji7]
[emoji182][emoji182][emoji182][emoji178][emoji178][emoji178]Nakupendaaaaa mpaka nakufwaaaaaa
Ndo maneno ya msingiShemeji vumilia utasikia mengi zaidi ya haya pamabana kutetea haki yako ya upendo kwa umpendae
Be..b unafanya kazi guest[emoji15][emoji15]
Wenye wivu wakafie huku kwenye daraja la mkapa[emoji182][emoji182][emoji182][emoji178][emoji178][emoji178]
Mmmmm beib yakwel hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana anko ndo alimpa namba mhudumu nikawahi kumstil
Ni changamotoHahahaaa aiseee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wenye wivu wakafie huku kwenye daraja la mkapa
Huu mziki sio wa nchi hii ulikolea mpaka nimejitahidi kuuzimaSikuwepo naingia nakutana na haya
Ila ukiwepo sina neno
Ila weweHahahaaa aiseee
Popote ukimkuta shunie mwambie aje huku atoe ufafanuzi yeye ndo anawajua vizuriNa ubuyu ningeupata tu mbona soga la leo lingenoga maana harusin kuna mengi
Kwelii na ana nundu usoniiMmmmm beib yakwel hayo
Tuwafanyejeee sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
ShukraniiiHuu mziki sio wa nchi hii ulikolea mpaka nimejitahidi kuuzima
Mi nilisahau maana nilikuwa safari nje ya nchiEe acha hizo mbona wameshawekana ndani teyar ndoa ya mkeka hio
Popote ukimkuta shunie mwambie aje huku atoe ufafanuzi yeye ndo anawajua vizuri
Anko hukuona juzi ananiwishi bday na kesi nilipewaaPopote ukimkuta shunie mwambie aje huku atoe ufafanuzi yeye ndo anawajua vizuri