Watasema mengiii ila nakupendaThenki uuu bebe love
Ndo uanaume lazima ukabilianae na kesi kama hiziAnko hukuona juzi ananiwishi bday na kesi nilipewaa
Niliko kuwa hamna zawadiUmewaletea zawadi gani?
Asantee babaWatasema mengiii ila nakupenda
Unacheka eeeh? Fikisha salamu ingawa naamini na wewe unahusika 50%, mnajua mlichofanya!Eti x-wife![]()
![]()
![]()
Mi naona tuwaache kama walivyo maaction na mavitendo ya upendo wetu yatawatoa nishai![]()

Sawa ntazifikishaUnacheka eeeh? Fikisha salamu ingawa naamini na wewe unahusika 50%, mnajua mlichofanya!
Sawa mamkubwa salamu zimefika mi nilijua yuko kwako maana akiwa kwako hata simu huwa hapokeiWala Shunie hawezi kuijibu. Ni baba D pekee. Kokote alipo mwambieni ex- wife ana mtafuta!
Unacheka eeeh? Fikisha salamu ingawa naamini na wewe unahusika 50%, mnajua mlichofanya!

Vitimbi vyote mlivyo nifanyia naye bado umemwagwa ndo maana umaenikubalia kiurahisi kurudi nyumbaniMi alishanimwaga, labda yupo kwa Shunie
Ndo hivyo, we rudi tu mwananguVitimbi vyote mlivyo nifanyia naye bado umemwagwa ndo maana umaenikubalia kiurahisi kurudi nyumbani
Kumbe huyu ni mwanafamilia ??Ndo hivyo, we rudi tu mwanangu
Sawa shemNimetulia baba, Kaja mwenyew nishasahau yote
Mpendeee...!Wacha nikupendeeeee
Mama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?Ndo hivyo, we rudi tu mwanangu
Sina namnaaaaaMpendeee...!