Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?
Happy born day mkuuSina namnaaaaa
YaaapKumbe huyu ni mwanafamilia ??
Nilikuwa mbali mkuu.Asante
Japo ni sku 3 zimepita
Shukrani mkuu ....ubarikiweNilikuwa mbali mkuu.
Ipokee wish yangu tuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
TutambuaneYaaap
Hatua haja ya kutambua ndo tumetambua hivyo ila mi ni mwana mtengwaTutambuane
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hatua haja ya kutambua ndo tumetambua hivyo ila mi ni mwana mtengwa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Umetaka kurudi mwenyewe, kama hutaki baki tu huko huko. Sijapitia jeshi kwahiyo sheria sizijui kabisaMama nikumbushe sheria ya jeshi inaruhusu kurudi nyuma?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umetaka kurudi mwenyewe, kama hutaki baki tu huko huko. Sijapitia jeshi kwahiyo sheria sizijui kabisa
[emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] nipo napiga gwaride hapaUmetaka kurudi mwenyewe, kama hutaki baki tu huko huko. Sijapitia jeshi kwahiyo sheria sizijui kabisa
Good...very good mjeshi wangu![emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] [emoji61] nipo napiga gwaride hapa
Asante mama mkubwa ila nasikitika sana dingi kusepa bila taarifaGood...very good mjeshi wangu!
Umeona eeh..tabia mbaya sana. Ila mi nahisi yupo kabadili jina kaja na mke mpya, mi namuangalia tu.Asante mama mkubwa ila nasikitika sana dingi kusepa bila taarifa
Sijui maana shunie ndo ammetutambulisha kama huyo ni mdogo wa leeUmeona eeh..tabia mbaya sana. Ila mi nahisi yupo kabadili jina kaja na mke mpya, mi namuangalia tu.
Mmh hayaaaSijui maana shunie ndo ammetutambulisha kama huyo ni mdogo wa lee
Sawa tusubiri siku wakitokea wote ndo tutajua ukweliMmh hayaaa