Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Teh nimechanganya madesa ila kosa si langu, ni wewe na kaka yako![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ebhu kuwa siliasi bhasi mnamkimbiza mcutte wangu
Teh nimechanganya madesa ila kosa si langu, ni wewe na kaka yako![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ebhu kuwa siliasi bhasi mnamkimbiza mcutte wangu
Loooooooh nilikwambia lakiniAagh heri niwe peke yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooh sijui. Mke wa baba yako mkubwa si ni mama mdogo au?
Wewe utanivunjia ndoaMzima kabisa,upo poa?
Jamaniii jamaniiiiNatatuaje Sasa hapo wakati tayar anaitwa baba ee[emoji24][emoji24][emoji24]
Baba d ni tofauti na lyon lee
Wewe unamzungumzia lee empire
Usicheke lkn haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba d ni mpendwa wa shunie
Asante mkuuHuyo Baba D ni kaka yake amabae ndo Mme wa shunie
Wewe utanivunjia ndoa
Shunie kuja zisiiiii weiiiiWajua Nini shemeji,bby nilimuuliza tangu mwanzo na akanihakikishia tangu mwanzo niko peke yangu umeona, Sasa leo nasikia mara baba d sijui nini...iiiiii oh[emoji24][emoji24][emoji24]shemeji inauma inauma yaan mi nilidhan napendwa Mimi tu kumbe.... [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Na wewe pia shemNice. Uwe na siku njema
Ila nilikwambiaEee[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Mke wa lyon lee..sio Lee empireNimekuwa mgeni hapa, kwani huyo ni mke mwingine wa Lee?
Unampenda hadi unakufa...Mhh si kwa udadisi huo au tunashare Mamaa? Bebe wangu ni Lyon Lee from makapuku na nampenda mno
Nipo hapa mimi demiOooh kumbe! Basi huyo baba D na mdogo wake wana kesi ya kujibu, ukiwaona wape salamu zangu.
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Subiri Kwanza nishushe hasira ndo ntakuelewa
Nakupendaaa ujueeSawa shemeji yangu[emoji122]
Hahahaaa....Nilisafiri nchi za mbali nimerudi nimekuta mapyaaaaaaaaa
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Ila nilikwambia