ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,922
- 13,817
watu watamkwibaa


kwanini wamkwibe jaman?? Au kesha ibiwa mi sijuiwatu watamkwibaa


kwanini wamkwibe jaman?? Au kesha ibiwa mi sijuiEeheh! Wewe huwajui nyaku nyaku wa Jf eeh?kwanini wamkwibe jaman?? Au kesha ibiwa mi sijui

Mhhh... Jaman vibaya ivo kuiba Mali isiyo yako loohEeheh! Wewe huwajui nyaku nyaku wa Jf eeh?
Linda mali yako..![]()
Oooh waulize kina Tumosa , Shunie, Sakayo ,demi , Numbisa , Linamo ,BlessedHope husna mubaMhhh... Jaman vibaya ivo kuiba Mali isiyo yako looh
Mmmmm basi humu kuna wezi professional aisee


Mmmmm basi humu kuna wezi professional aisee![]()
Sakayo bado kalala...! Jana mambo yalikuwa mengi mno..Shwari kabisa
Kumbe daah ubuyu mtamu sio wa kunipita hivi hivi.
Sakayo sijui atakua mitaa gani ila carbamazepine ntampata kule home sweet home
Sakayo bado kalala...! Jana mambo yalikuwa mengi mno..
Atakuwa kijiweni kwenu kule si muda
Nimekuwa mgeni hapa, kwani huyo ni mke mwingine wa Lee?
Kwema mkuu tunapigika km mabaga fresh!Wakuu habar zenu
Amen mtumishi*TUOMBE*
Mwenyezi Mungu Mtakatifu, Mfalme wa wafalme,Baba wa Milele,Mshauri wa Ajabu,Mungu mwenye Nguvu Asante kwa kutufikisha siku hii ya leo.
Tunakushukuru kwa sababu Upendo wako ni mkuu kwetu, Kwa sababu unatulinda na kutuongoza, Kwa sababu unatupigania, Kwa sababu Unaweza zote,Unajua yote,Upo kila mahali. Mungu wetu tunaomba usinyamaze kila tukwitapo sisi peke yetu hatuwezi.
Tupiganie katika kila Jambo,Tufundishe,tushauri na kuturudi tunapokukosea. Mungu bariki Afya,Kazi,kusudi,Uchumi na Imani zetu.
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.

Mhh si kwa udadisi huo au tunashare Mamaa? Bebe wangu ni Lyon Lee from makapuku na nampenda mnoAm curious,who is ur bae? From where,here makapuku?
Mhh si kwa udadisi huo au tunashare Mamaa? Bebe wangu ni Lyon Lee from makapuku na nampenda mno

Mbona kusikitika my dia nawew pia tunashare
Nilisafiri nchi za mbali nimerudi nimekuta mapyaaaaaaaaaMbona kusikitika my dia nawew pia tunashare
Heee kumbe nimeongopewa Mimi jamanNilisafiri nchi za mbali nimerudi nimekuta mapyaaaaaaaaa


looh kumbe tupo wengi Sasa nimeanza kumuamini Anko obe