Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shem wangu hakuna safari isiyo kuwa na kona, milima, mito,
Hivi umemuuliza huyo baby wako kasemaje kuhusiana na hii tuhuma au unajichukulia maamzi kwa kusikiliza maneno
Wajua Nini shemeji,bby nilimuuliza tangu mwanzo na akanihakikishia tangu mwanzo niko peke yangu umeona, Sasa leo nasikia mara baba d sijui nini...iiiiii oh[emoji24][emoji24][emoji24]shemeji inauma inauma yaan mi nilidhan napendwa Mimi tu kumbe.... [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Shemeji unapendwa ila waleta tarifa wamechanganya majina
 
Back
Top Bottom