mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Usiku Mwema Wapendwa Msisahau kusoma Dua kabla ya Kulala
Ameen asante kwa kutukumbusha barikiwa sanaUsiku Mwema Wapendwa Msisahau kusoma Dua kabla ya Kulala

AwwMuziki wa Mdhamini
Ni chaguo la aunt yangu Shunie ambalo sina hakika kama anataka kumdediketia anko wangu au anataka kuutupa tu hewani sandakalawe kwa kila kapuku afurahie na nitajipa benefit of doubt kwamba anataka tuusikilize na kuufurahia kwa sababu yeye anafurahi.


binamu yangu kipenzi kiboko yake mama yangu mie BH
santee nakupenda tu mm jaman
Usiku Mwema Wapendwa Msisahau kusoma Dua kabla ya Kulala

Kukuhakikishia ni kukupendaa kwa moyo wangu wote .
Walivo wabaya hipo siku utaambiwa shunie ni wangu pia

Niko busy kweli shemelaMh mbona mie nipo we ndio umepotea shemela
Duuu hizi elimu zingine bora zinipite tu kwa kweliMshana Jr nadhani alishawahi kuliongelea hili. Kama sikosei ni yale mambo ya kuuhama mwili na kwenda sehemu zingine kiroho na inasemekana ndiyo njia ambayo hutumiwa na wachawi na wengineo kuingia majumbani huko bila kufungua milango na madirisha. Ni hatari kidogo hasa kwa watu wanaoanza kwa sababu ukikosea kidogo tu basi unakufa. Tena inabidi ufanyie mahali patulivu kwa sababu ikitokea mtu akaushtua mwili uliouacha kabla hujapata muda wa kuurudia basi hutaweza kurudi tena na hivyo unafariki.
Google Astral projection kama unataka kujifunza zaidi na kuna video nyingi YouTube. Hata hapa JF mada hii ilishaongelewa sana. Dunia hii ina mambo mengi yasiyojulikana...
Kwa Trump raha sana, afanye harakaBongo bahati mbaya ebu nichukue na mie huko kwa trump jaman
Nipo mama JJMzima kabisa
Cc Shululu
Hivi yuko wapi aiseeHuku harudi tena
Inabidi ajue tu maana hamna namna nyingine sasaKufunguka veeep yaan me sio single kibibi gagula me ni mke wa lee au baba d
Hakuna namna ingine shemelaInabidi ajue tu maana hamna namna nyingine sasa
Nipo nae hapa yaan nikimpa habari za jf hataki hata kuzisikia anajifanya yupo busy na simu jaman baba d wanguHivi yuko wapi aisee
![]()
![]()
![]()
shemela buana