Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamani Habari zenu Mwenzenu ndo naamka sasa hivi toka nilipo waaga jana
Nilikuwa Nje ya Dunia kwa Masaa hayo

Siku nikiwa na Muda Ntawapa hili Somo namna ya Kuwa Nje ya Dunia Kwa Masaa Yasopungua 15
Jambo Ambalo ni Muhim Kufanywa na Binadam Walau kwa Uchache Mara Mbili kwa Mwaka
Na linafaida Kubwa kwa Afya na Uimara wa Binadam

Born again
Aisee
Me hili somo silitaki labda wengine
 
21ad1e18d2cfc7f779c5b1eaf210e1f5.jpg
No 2
 
Aisee
Me hili somo silitaki labda wengine
Mshana Jr nadhani alishawahi kuliongelea hili. Kama sikosei ni yale mambo ya kuuhama mwili na kwenda sehemu zingine kiroho na inasemekana ndiyo njia ambayo hutumiwa na wachawi na wengineo kuingia majumbani huko bila kufungua milango na madirisha. Ni hatari kidogo hasa kwa watu wanaoanza kwa sababu ukikosea kidogo tu basi unakufa. Tena inabidi ufanyie mahali patulivu kwa sababu ikitokea mtu akaushtua mwili uliouacha kabla hujapata muda wa kuurudia basi hutaweza kurudi tena na hivyo unafariki.

Google Astral projection kama unataka kujifunza zaidi na kuna video nyingi YouTube. Hata hapa JF mada hii ilishaongelewa sana. Dunia hii ina mambo mengi yasiyojulikana...
 
Jamani Habari zenu Mwenzenu ndo naamka sasa hivi toka nilipo waaga jana
Nilikuwa Nje ya Dunia kwa Masaa hayo

Siku nikiwa na Muda Ntawapa hili Somo namna ya Kuwa Nje ya Dunia Kwa Masaa Yasopungua 15
Jambo Ambalo ni Muhim Kufanywa na Binadam Walau kwa Uchache Mara Mbili kwa Mwaka
Na linafaida Kubwa kwa Afya na Uimara wa Binadam

Born again
 
Mshana Jr nadhani alishawahi kuliongelea hili. Nadhani ni yale mambo ya kuuhama mwili na kwenda sehemu zingine kiroho na inasemekana ndiyo njia ambayo hutumiwa na wachawi na wengineo kuingia majumbani huko bila kufungua milango na madirisha. Ni hatari kidogo hasa kwa watu wanaoanza kwa sababu ukikosea kidogo tu basi unakufa. Tena inabidi ufanyie mahali patulivu kwa sababu ikitokea mtu akaushtua mwili uliouacha kabla hujapata muda wa kuurudia basi hutaweza kurudi tena na hivyo unafariki.

Google Astral projection kama unataka kujifunza zaidi na kuna video nyingi YouTube. Hata hapa JF mada hii ilishaongelewa sana. Dunia hii ina mambo mengi yasiyojulikana...
Aiseeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom