Zaburi 146 Amen asante
Amen asante ubarikiweYote ni ubatili mtupu!!!
![]()
Nawe pia ubarikiweUsiku Mwema Wapendwa Msisahau kusoma Dua kabla ya Kulala
Amina mamaZaburi 146
1 Haleluya. Ee nafsi yangu, umsifu BWANA.
2 Nitamsifu BWANA muda ninaoishi, Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.
3 Msiwatumainie wakuu, Wala binadamu ambaye hakuna wokovu kwake.
4 Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, Siku hiyo mawazo yake yapotea.
AmenZaburi 146

Na makucha yake kila mtu na kichaa chakeKumekucha salama ...
Weka na magazeti, mimi network inasumbuaKumekucha salama ...