EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.Nilienda kuombea mema makapuku wote
Wakongwe nimewaombea dua mbaya
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Ombea adui yako aishi miaka mingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.Nilienda kuombea mema makapuku wote
Wakongwe nimewaombea dua mbaya
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Ni kweli kabisa shem.Hakuna kama mama
Salama kaka, habari ya jumapili!Nawasalimu watu wa humu
Wanasema umuombee pia asiugue presha kwakuona mafanikio yakoOmbea adui yako aishi miaka mingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.
![]()
![]()
![]()
HahaaaaaNilienda kuombea mema makapuku wote
Wakongwe nimewaombea dua mbaya
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Sie wazimaNawasalimu watu wa humu
Nimejoke tuOmbea adui yako aishi miaka mingi ili unapofanikiwa ajionee kwa macho.
![]()
![]()
![]()
Malipo hapahapaHahaaaaa![]()
![]()
![]()
Le presidaaaa usiwaombe mabaya bana, Mungu hapendi
Whats goes around comes aroundMalipo hapahapa
![]()
![]()
![]()
![]()
....................
Chura wa nn babe?
Basi tu baby huyo chura mwenyewe hana maana yoyoteChura wa nn babe?
Mmmh yaan nilikuwa naenda kukukamatia mmoja.Basi tu baby huyo chura mwenyewe hana maana yoyote
Sisimizi unaogopa utaweza kukamata chura kweli. Au wale wa yule mtumbuizajiMmmh yaan nilikuwa naenda kukukamatia mmoja.

Hahahahaa! Wale wa mtumbuizaji sio wazuri kiafya.Sisimizi unaogopa utaweza kukamata chura kweli. Au wale wa yule mtumbuizaji![]()
![]()
Hahahahaa! Wale wa mtumbuizaji sio wazuri kiafya.
wale chura mmhHawafai![]()
wale chura mmh
Marhabaaaaa!Hatimaye nipo Das'lam mjini...shikamooni Makapuku!