Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Afadhali.... Nilitaka kushangaa we na chura wapi na wapi?Unafikiri nalia sababu ya chura wala. Mwache afungiwe tu
Afadhali.... Nilitaka kushangaa we na chura wapi na wapi?Unafikiri nalia sababu ya chura wala. Mwache afungiwe tu
Naomba iwe hivyo mpenziNdio babe wangu! Wiki ijayo nitaenda.
Mimi nilistuka sana! Presha ikanipandaAfadhali.... Nilitaka kushangaa we na chura wapi na wapi?
Sawa babe!Naomba iwe hivyo mpenzi
Hapa nasikiliza cjamoker ft wakazi p the mc one the incredible-cjamokerAfadhali.... Nilitaka kushangaa we na chura wapi na wapi?

Nakuaminia mpenzi wanguSawa babe!
Hakika...Mungu walinde akina mama zetu.Dah! hamna mwanangu, mama ndo dunia, dunia ndo mama..
Aisee unasali kanisa hili kumbe, me nimekaa sana pande hizo hapo karibu na Gonzaga Primary school![]()
Nilikuwa church ndo naelekea home......bado sijapitia story zenu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Tutoke baby
Twende wapi babe?Tutoke baby
Kule honeyTwende wapi babe?
Sawa honey!Kule honey
Sure!Hakika...Mungu walinde akina mama zetu.
Umesomeka mkuumakapuku forum: uzi unaokua kwa kasi ya ajabu kuwahi kutokea jf. nautabiria kufikisha comments 50000 baada ya miezi 3 ijayo. ama kweli makapuku tuna nguvu kuliko wakongwe wa jf. heshima kwa waasisi wa hii kitu. Th Name Bitoz nyangema toto la joto city a.k.a tembo mvaa mtepesho!
dah makapuku burudani tupu!
Ndo ivo mkuuAisee unasali kanisa hili kumbe, me nimekaa sana pande hizo hapo karibu na Gonzaga Primary school
yeraa salamu zao huko joto city(JC)Umesomeka mkuu
....................,....
Tupo poa mvua zilishakata siku ya 5 sasa no nyunyuyeraa salamu zao huko joto city(JC)