Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Ndo ivo mkuu
Napapenda uswahilini kwetu na sihami ng'o ht mafuriko yaje
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Ndo ivo mkuu
Napapenda uswahilini kwetu na sihami ng'o ht mafuriko yaje
![]()
![]()
![]()
![]()
......................

Duh mahaba haya aseeSawa honey!
Mahaba niue!Duh mahaba haya asee
PowaaaaAje aje wakuu, mmeshindaje?
Niponde ponde kabisa heheheMahaba niue!
Mkuu mambo yaendaje!Hapa nasikiliza cjamoker ft wakazi p the mc one the incredible-cjamoker![]()
![]()
Mpaka nikose cha kufanya, hahahaNiponde ponde kabisa hehehe
Mkuu hawa watu ni wa mama woteLinamo, amaizing, lizziebettie, Jimena, Patience123, aggyjay na KE wengine wote humu... Happy MOTHER'S day
Hahahahaaa... Ni kweli kabisa.Wanasema umuombee pia asiugue presha kwakuona mafanikio yako
Hahahahaaa... Ni kweli kabisa.Wanasema umuombee pia asiugue presha kwakuona mafanikio yako
Habari yako brother.Hahahahaaa... Ni kweli kabisa.
Teh.. hata kama si wamama kwa sasa, najua watakua hivyo soon or later!Mkuu hawa watu ni wa mama wote![]()
![]()
![]()
sio kwamba ingekua wanawaje day ndo ingekua convenience
Teh.. hata kama si wamama kwa sasa, najua watakua hivyo soon or later!
haya bhanaPole najua sasa imeshashuka na moyo wako umetulia tuliiMimi nilistuka sana! Presha ikanipanda