Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Weka mbali na watotoHawafai
Weka mbali na watotoHawafai
Hahaha wanaweza pata upofuWeka mbali na watoto
Hawa watoto wa siku hizi sidhani aiseeHahaha wanaweza pata upofu
Wamekubuhu! Ila watoto wazuri bado wapoHawa watoto wa siku hizi sidhani aisee
Unafikiri nalia sababu ya chura wala. Mwache afungiwe tuPoleee
Ila wachache sana. Huku mtaani kwetu ni balaa tupuWamekubuhu! Ila watoto wazuri bado wapo
Hawa wanaume wa kesho ambao mawazo yanawaza zaidi madem, mitungi na kuokota chupaMakapuku ni kina nani

Poleni sana!Ila wachache sana. Huku mtaani kwetu ni balaa tupu
Asante sana babyPoleni sana!
Dah... na wewe ni kapuku?Sawa kapuku mwenzetu

Yo welcome honey!Asante sana baby
Church ulienda?Yo welcome honey!
mkuu lizziebettie kasura kako kanatia hamasa sana hadi napata 'apetite'Marhabaaaaa!
Leo sijaenda babe!Church ulienda?
Kana pilipili na tangazawizi.mkuu lizziebettie kasura kako kanatia hamasa sana hadi napata 'apetite'
Why baby wangu?Leo sijaenda babe!
Nilichelewa kuamka dear!Why baby wangu?
Ulichelewa kulala mpenzi wangu?Nilichelewa kuamka dear!
Ndio babe wangu! Wiki ijayo nitaenda.Ulichelewa kulala mpenzi wangu?