Jumaaofficial
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 250
- 210
Mzee wa kunyapia nyapia
Dooooh! Yesu na mariaaNipo natoa dozi kubwa sana tuu,atapona..hivi karibuni..na dhoruba itatulia..

Umefanya vizuri kuja kutyusalimiaAmani ya bwana ikae nanyi
Linamo my wife uwe na siku njema mumeo naendelea vyema.
Bado natafuta ili prince wetu asije kupitia changamoto zetu.
BTW still nawakumbuka sana ndugu zangu
Cc shululu, Shunie, Lee empire, Mndali ndanyelakakomu, Sakayo, Transcend, Mwifwa, dume jeuri, my lovely mom BlessedHope, dady Papaa mukongo, mtaasisi Obe na shemeji husna muba na Tumosa, Gentries, lovely mom, Valentina, Jooserest, emmyta na Lyon lee
Na wengine wengi nawapenda sana
sio kiroho?!
Nipo natoa dozi kubwa sana tuu,atapona..hivi karibuni..na dhoruba itatulia..
Dooooh! Yesu na mariaa
Mpeeeeeee! Mimi nasema mpee Binamu wake shunie...
We mpee tuuu![]()
....hakuja bhana, unaweza kuwa unajua sababu iliyomfanya asije?
sijui miee
Haya acha nilale![]()
kesho
Na mimi nataka wengine wanalipiwa mpaka kwa cheki...braza, huwa unatumia kinywaji gani? hebu jibariki kwa kinywaji Heineken, ninalipa kwa cheki , faster kabla aunt yangu hajaja na kuniharibia mood
....uliona vitisho nilivyopewa lakini? Yaani kujipendekeza ndo ilikuwa dawa sahihi.
Vyote nilivyoahidi hakuna hata kimoja cha ukweli kwao, nakuletea wewe

WooooooooooozaaaaaNipo natoa dozi kubwa sana tuu,atapona..hivi karibuni..na dhoruba itatulia..
Myuuuuuuu in shunie's voice...Khaah, kumbe hata wewe unajua!!! Basi usiseme kwa sauti wengine wakajua itakuwa msala upande wangu
Nipo natoa dozi kubwa sana tuu,atapona..hivi karibuni..na dhoruba itatulia..
Dooh!Amani ya bwana ikae nanyi