Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,832
VP kule ulipita?!
Nataka nikaangalie nyayo zKo
....nilipita na nilivaa soksi so sidhani kama utaona unyayo
VP kule ulipita?!
Nataka nikaangalie nyayo zKo
Alikuja?
Salama sana sijui hukoPouwa sana shem..
Za masiku lakini?
Huku salama kabisa...Salama sana sijui huko
Dawa ya Husna......hakuja bhana, unaweza kuwa unajua sababu iliyomfanya asije?
Kujipendekeza hukooo...!![emoji57] [emoji57] [emoji57]
Dawa ya Husna..
Upo Binamu...?
Pande hiz pako pouwa sanaa.....nipo mdau, wikend inakwendaje pande hizo
Mama mchuchu ! Dawa ya Obe upo?
Ubarikiwe Sana T wa Sakayo..salamu kwa mwanangu[emoji7]Salama mama..
Ndio natoka chimbo now
[emoji1] sio kiroho?!..kwa BH wala sitaki mengi, nataka neno tu (kwa sauti ya Ngoswe), mawazo yenu ya ajabuajabu kaeni nayo wenyewe mimi niko kimwili zaidi
[emoji133]....hakuja bhana, unaweza kuwa unajua sababu iliyomfanya asije?
[emoji7]...Khaah, kumbe hata wewe unajua!!! Basi usiseme kwa sauti wengine wakajua itakuwa msala upande wangu
Namsalimia...!Ubarikiwe Sana T wa Sakayo..salamu kwa mwanangu[emoji7]
[emoji2] [emoji2][emoji1] sio kiroho?!
Nipo natoa dozi kubwa sana tuu,atapona..hivi karibuni..na dhoruba itatulia..Mama mchuchu ! Dawa ya Obe upo?
Unakimbia madam?[emoji113] [emoji113]