BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Na mimi nataka wengine wanalipiwa mpaka kwa cheki
Mkuu niko Napiga heineken hapa....braza, huwa unatumia kinywaji gani? hebu jibariki kwa kinywaji Heineken, ninalipa kwa cheki , faster kabla aunt yangu hajaja na kuniharibia mood

Wooooooooooozaaaaa
Mimi mama niko apa..Love you baby girl
jimbo gumu hili..kama la Nyalandu

Dada kasema EwaaaaaaaWooooooooooozaaaaa
Na mm nimeagiza heinken utajua mwenyewe na cheki ibume au vipi me ndio nakunywa...cheki imebuma, aliyekunywa atalipa.
Mmh uache kumuekea mama nyimbo za kufanyia mazoezi ndio ninii tena hapo mama hatakuelewaMuziki: Less Talk, It's Saturday FGS
..siongei mengi leo zaidi nitakusalimia tu na kukusisitiza kuhusu mazoezi kwa wale tunaokuwa 'bize' kuliko Biziman siku tano za wiki. Mimi hapa leo mapema nimeanza na jogging kwenye chama langu la maveterani baadaye tukasukuma soka kwa dakika 90 kisha tukajivuta banda la jirani kupata supu na kabia kamoja viwili. Mimi ni kiungo mkabaji FYI na anko wangu anacheza strika mbakaji.
ujue nini, biashara lazima uwe na plan, hicho ndo cha kwanza, rasilimali na mengine. Huwa namuangalia huyu mjasiriamali anayetuuzia supu maveterani namuona ana akili sana, alijipanga yaani baada ya mazoezi anajua tutakuwa na kiu anaweka supu na bia za baridi. Pembeni kuna muuza magazeti, anajua kabisa maveterani wanapenda news na hii ni siku pekee ambayo mjomba wangu anakuwaga mtu anamuheshimu mjasirimali hamfanyii ujasiriamwili.
Muziki sasa, leo sikusoma magazeti au, nimeangalia vibaya? Asante wote kwa kulifanya Jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa, mnachopost kinamaana kama posa halali sio zile anazoendaga kutoa anko wangu, keshatoa posa na kutangaza nia ya posa kwa watu watu hawa (hivi kile kiemoji cha kuonesha vidole nakipataje nikuoneshe idadi). Wikend Njema. Tuache Upendo Utamalaki
Na mm nimeagiza heinken utajua mwenyewe na cheki ibume au vipi me ndio nakunywa
Mama komaa hivyo hivyo ujueMimi mama niko apa..Love you baby girl
![]()
jimbo gumu hili..kama la Nyalandu
![]()
![]()

Naagiza na mishkaki ujiandae kulipa...kunywa tu, tena agiza tatutatu, najua hapo ulipoagiza wanauza na chipsi aka viepe, usipolipa utachonga viazi
Mama komaa hivyo hivyo ujue![]()
Muziki: Less Talk, It's Saturday FGS
..siongei mengi leo zaidi nitakusalimia tu na kukusisitiza kuhusu mazoezi kwa wale tunaokuwa 'bize' kuliko Biziman siku tano za wiki. Mimi hapa leo mapema nimeanza na jogging kwenye chama langu la maveterani baadaye tukasukuma soka kwa dakika 90 kisha tukajivuta banda la jirani kupata supu na kabia kamoja viwili. Mimi ni kiungo mkabaji FYI na anko wangu anacheza strika mbakaji.
ujue nini, biashara lazima uwe na plan, hicho ndo cha kwanza, rasilimali na mengine. Huwa namuangalia huyu mjasiriamali anayetuuzia supu maveterani namuona ana akili sana, alijipanga yaani baada ya mazoezi anajua tutakuwa na kiu anaweka supu na bia za baridi. Pembeni kuna muuza magazeti, anajua kabisa maveterani wanapenda news na hii ni siku pekee ambayo mjomba wangu anakuwaga mtu anamuheshimu mjasirimali hamfanyii ujasiriamwili.
Muziki sasa, leo sikusoma magazeti au, nimeangalia vibaya? Asante wote kwa kulifanya Jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa, mnachopost kinamaana kama posa halali sio zile anazoendaga kutoa anko wangu, keshatoa posa na kutangaza nia ya posa kwa watu watu hawa (hivi kile kiemoji cha kuonesha vidole nakipataje nikuoneshe idadi). Wikend Njema. Tuache Upendo Utamalaki
Khaa Obe mazoezi na wimbo huu nitalazwa hospitali..ni mzuri kuuangalia ..asante sana Obe..ila unamfahamu mnunuzi wa nyumba za lugumi..ni jirani yako kwa maveterani fuatilia kwa makini anajulikana pale viziriii
UBARIKIWE

nilitegemea hayo mama
️
Amkatae vipiii akomae achukue jimbo...unamshauri amkatae mpiga kura wake? Atavuliwa ubunge abaki uchi. Ukivuliwa si unabaki uchi?