MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,039
Na mm nimeagiza heinken utajua mwenyewe na cheki ibume au vipi me ndio nakunywa
Bosii wikendi imeanza tayarii ???
Na mm nimeagiza heinken utajua mwenyewe na cheki ibume au vipi me ndio nakunywa
Hahaha hapo sawa ngoja nitajaribu,ila fuatilia zaidi...ha hahaha huyu bilionea bhana. Kaifanya wiki iwe nzuri sana, mia 9 itapendeza.
mazoezi hautalazwa labda kulaliwa
KaribuHome Sweet Home,
Aisee nimelikumbuka sana hili jukwaaa!
[emoji524]MITHALI 3
24.Ulalapo hutaona hofu ,Naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu
Mungu akubariki,wewe na familia nzima damu ya Yesu iwafunike Mbarikiwe .
Amina kakaDooh!
Nakukumbuka sana Muweka Fedha za kamati ya Kapuku.
Mungu akupiganie kaka.
...nimefurahi kukuona mtaasisiAmina kaka
Nyagei
[emoji524]MITHALI 3
24.Ulalapo hutaona hofu ,Naam ,utalala na usingizi wako utakuwa mtamu
Mungu akubariki,wewe na familia nzima damu ya Yesu iwafunike Mbarikiwe .
Nawe pia asaubuhi njema barikiwa ObeUsiku mwema wadau
AmenAsante BH, uwe na usiku mwema