Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nazingoja [emoji133]
Cc Obe,Lee Lyon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani nazingoja [emoji133]
Cc Obe,Lee Lyon
Mama anataka nyimbo aendelee kufanyia mazoezi[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha mama leo week end asubiri wakirudi watamuwekeaMama anataka nyimbo aendelee kufanyia mazoezi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli siku hazigandiEnzii zile lufufu anatesa kwenye vibanda .....Yule mtoto aloigiza Kama jenny matrix ( mtoto wa John Matrix )![]()
Kwenye "COMMANDO"..moja ya muvi kali zilizotutesa vibanda umiza kwa sasa ndio huyu hapa! Chini![]()
"time is illimatic"
Unakumbuka nini
Ahaaa...kumbe sizonje!Lifuguma hilo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....mia 900 itapendeza
ha hahahhahaha
Anodi jiniAhahah acha tu muhenga mie jamaan na ile ya arnold jini sijui alikua na wanajeshi wenzie inaitwaje yaan
Cc.Dada chunaItabidi dada chuna nae achome sindano avimbeshe chura wake..
Cc.Dada chunaYule ata ajioverdoze atabaku alivo kama mojaa
[emoji4] [emoji4] [emoji4]...kwani wengine mnapendaga nini? Uzuri wa maziwa yachache, mna mbwembwe nyie, mnayaita mtindi hayo ndo nayopendaga sasa
Nimemuooooonaaaaas[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378]Ewaaaaa kuna yule mwanajeshi mwenzie alikua kipara hivi mweusii alimuuwa yaan hii nilikua naipenda ebu shem nitaftie basi kama ipo kwenye dvd
[emoji4] [emoji4] [emoji4]...hujamuona alivyo wewe, unawajua wale jumping frog
![]()
Una maslahi gn nae?!...mama mchuchu huyu huyu BH mwenye nina maslahi naye?
VP kule ulipita?!...mama mchuchu huyu huyu BH mwenye nina maslahi naye?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]...haya ni kwa ajili ya kurusharusha chura! Uzuri wa kumwangalia chura awe anarukaruka, sio chura kama wale wa kule alikoendaga mjomba wangu Moshi, chura wa kule wanatembea taratibu kama guta.
Alikuja?Napambana nayo kweli hadi nimeishinda na sasa inapambana na mimi! Muite BH aje anisaidie
Ebu tuwekee zaituni jamanAnodi jini
Anodi msituni
[emoji1] [emoji1] utoto bana!
AhahahahahNimemuooooonaaaaas[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji378]
Lufufu kazini