Makapuku Forum

Makapuku Forum

tenor.gif
Ahahhaha
 
...sasa hujasema kama ni za kukaangwa au nikuletee na maganda yake uyatumie kama scrab uwe white.

Ukitaka nitakuletea hadi na mabibo na kinywaji chake Nipa
Sitaki na mabibo zije korosho zimeshabanguliwa yaan zikija ni kula tu hivi kwa nini unanifanyia hivyo kuhusu korosho
 
Sitaki na mabibo zije korosho zimeshabanguliwa yaan zikija ni kula tu hivi kwa nini unanifanyia hivyo kuhusu korosho

....nitakuletea za msimu huu, mpya kabisa, sio za mwaka jana zimekomaa aunt yangu usijekuwa na roho ya korosho bure.

kama unataka zilizobanguliwa ungependa zile zilizobanguliwa kwa moto au mashine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom