Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Taratibu ankoo...mama mchuchu huyu huyu BH mwenye nina maslahi naye?
Taratibu ankoo...mama mchuchu huyu huyu BH mwenye nina maslahi naye?
Sikuitiiii pambana na hali yako mwenyewe tena nitakufungaNapambana nayo kweli hadi nimeishinda na sasa inapambana na mimi! Muite BH aje anisaidie
Yes huyo huyoUnamzungumzia bill duke au![]()
Mimi ninayo sema imetafsiriwa kiganda
Kutafsiliwa kiganda tena shem hapana jamanUnamzungumzia bill duke au![]()
Mimi ninayo sema imetafsiriwa kiganda
Ingekuwa poa sana kama na yeye angelikuwa anakulipiaBinamu shikamoo agiza safari lager 4 bill ije kwangu ukitaka na mishkaki wakupe
Kwanin nao walikiita kimbunga cha katrina, hawakuona majina mengine au.. wangeita hata hurricane obe
Mie simk.....haya ni kwa ajili ya kurusharusha chura! Uzuri wa kumwangalia chura awe anarukaruka, sio chura kama wale wa kule alikoendaga mjomba wangu Moshi, chura wa kule wanatembea taratibu kama guta.

Leo mwisho wa mwezi nnAsanteee maka agiza kinywaji chochote bill ikuje kwangu chura chura unataka kuvumbua ninii
Kwa obe hapana huwez mfananisha anko wangu na mambo kama hayo ....sifa ya obe ni kupenda chura
Hutobisha sababu hupendi ubishi ila situmii.. ila hivi bangi sio madawa ya kulevya eeh.......,itakuwa ngumu kubisha kama wakisema hutumii bange au madawa ya kulevya
Kwelii ninazo kibao ila ubaya zimetafsiriwa kiganda ...Kutafsiliwa kiganda tena shem hapana jaman
Nimeshaghaili hakuna tena beer kwenda kwakeIngekuwa poa sana kama na yeye angelikuwa anakulipia
......,itakuwa ngumu kubisha kama wakisema hutumii bange au madawa ya kulevya

Nini tenaNimeshaghaili hakuna tena beer kwenda kwake
......,itakuwa ngumu kubisha kama wakisema hutumii bange au madawa ya kulevya




Anko salaaamuuu
Hapana hata kati kati ya mwezi bado nimependa tu alivyoongea ujue shemLeo mwisho wa mwezi nn
...na chura awe chura kweli, yaani kama wa kihansi vile unatamani kutega sikio kumsikia akipumua





Najua mambo yako na najua kwa husobe umejiatach na very weak bond...na chura awe chura kweli, yaani kama wa kihansi vile unatamani kutega sikio kumsikia akipumua
Asante shem basi hazitanifaaKwelii ninazo kibao ila ubaya zimetafsiriwa kiganda ...