Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
NimeghailiNini tena
NimeghailiNini tena
Na mm naona naelekea kusolve make wana diplomasia wale ulionambia wamenisaidiaa ...si tutakutana kule?salama anko, nimeshamaliza msala wangu, sasa njoo tupeane mikakati ya nini tunafanya wikend maana bado mapema
Sasa mambo ya mjomba ako kwa mfano yaani yameingiaje hapa una ninii lakini wewe hizo safari usiagize tena nimeghaili mfyuuuu
D atakusaidia kutafsirAsante shem basi hazitanifaa
Mm jeNimeghaili
Sikuitiiii pambana na hali yako mwenyewe tena nitakufunga
Nimeshaghaili agiza kwa bill yako...lol! Yamekuwa hayo tena, namuongelea mjomba wangu mdogo sio mumeo jameni. Ujue sio haki kabisa kuagiza bia halafu unaghairisha tena. Una nini lakini leo?
AhahhahhaMm je
Kweliii ngoja nimdipuuuKheeee siyajui hayo jaman♀️
♀️
Hutobisha sababu hupendi ubishi ila situmii.. ila hivi bangi sio madawa ya kulevya eeh.
Tena nitahakikisha mama akukatae...nipeleke ukanifungie kwa BH, maana nitapenda sana kufungwa pingu za maisha
EeenhKweliii ngoja nimdipuuu
Hahahahah mama d msameheSasa mambo ya mjomba ako kwa mfano yaani yameingiaje hapa una ninii lakini wewe hizo safari usiagize tena nimeghaili mfyuuuu
Mwambie ukwelii...lol! Yamekuwa hayo tena, namuongelea mjomba wangu mdogo sio mumeo jameni. Ujue sio haki kabisa kuagiza bia halafu unaghairisha tena. Una nini lakini leo?
Watuachie starehe yetu.....bange haijawahi kuwa madawa ya kulevya ni nongwa za wenye sheria tu.
Ingekuwa poa sana kama na yeye angelikuwa anakulipia
Simsamehi huyu mjomba wenu ana maksudi sanaHahahahah mama d msamehe