Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Kweli mambo ya jeny jeny
Kweli mambo ya jeny jeny
Namshkuru sana Mungu yaanHope waendelea vyema
Nimerudi kwenye ubora wangu
Hahahhahaaha kweli mama dKweli mambo ya jeny jeny
Namshkuru sana Mungu yaanNimerudi kwenye ubora wangu
Ni mojawapo ya mikataba bora kabisa. Wengi wameshauriwa wafanye hivyo ili kuepuka dhahama za kufuja mali na kufilisika wangali bado vijana !!!
Kweli kabisaNi mojawapo ya mikataba bora kabisa. Wengi wameshauriwa wafanye hivyo ili kuepuka dhahama za kufuja mali na kufilisika wangali bado vijana !!!
Huyu naye mhhh !!!
Duh!! Muda kweli unaenda nduki..Enzii zile lufufu anatesa kwenye vibanda .....Yule mtoto aloigiza Kama jenny matrix ( mtoto wa John Matrix )![]()
Kwenye "COMMANDO"..moja ya muvi kali zilizotutesa vibanda umiza kwa sasa ndio huyu hapa! Chini![]()
"time is illimatic"
Unakumbuka nini
Huyu naye mhhh !!!
Ahahah acha tu muhenga mie jamaan na ile ya arnold jini sijui alikua na wanajeshi wenzie inaitwaje yaanHahahhahaaha kweli mama d
Kweli kabisaDuh!! Muda kweli unaenda nduki..
Za mimi ni salama wa salmin sijui za wewe mpendwa.Maka za wewe
Aminaa...nionee mama mchuchuUbarikiwe shem nakupenda mimi
Guardian of galaxyMr. Tree
Amekuwa mmama sasaKweli kabisa
Ahahah acha tu muhenga mie jamaan na ile ya arnold jini sijui alikua na wanajeshi wenzie inaitwaje yaan
Itabidi dada chuna nae achome sindano avimbeshe chura wake..Kwa obe hapana huwez mfananisha anko wangu na mambo kama hayo ....sifa ya obe ni kupenda chura