shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Niambie my love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Niambie my love[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7]
Lifuguma hiloLinini hilo?
Teh teh teh.. wacha uoga mkuu, dr lushika yupo...muulize kaka yako, mimi sina milioni 7 muda huu
Muziki: Achana Nao
Nadhani baada ya muziki huu ndo kitafuata kipengele changu cha muziki, kwa sasa natekeleza ombi la mpenzi wangu ambaye tangu asubuhi marafiki zake wamekuwa wakinipiga majungu kwa mimi kuelezea namna navyomzimikia kiukweli husna muba mpenzi wangu mwenyewe mnayemjua humu.
makaveli10 na anko wangu Lyon Lee salamu nawasalimia na ninawatamkia kabisa kwa hisani ya mpenzi wangu tumeshakaa chini na kumaliza tofauti zetu zilizosababishwa na mimi kutoacha kuwaambia kuwa namba mbili na kuendelea ni nani ukiachana na nmba moja ambaye ni mpenzi wangu Husna.
Hebu burudikeni bila zengwe
Mfungwa huyu alikuwa ananongwa.
Teh teh teh.. wacha uoga mkuu, dr lushika yupo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfungwa huyu alikuwa ananongwa.
Kwanin nao walikiita kimbunga cha katrina, hawakuona majina mengine au.. wangeita hata hurricane obe
[emoji7][emoji7]Usijal bebe
[emoji120][emoji120]Ubarikiwe sana
Kwa obe hapana huwez mfananisha anko wangu na mambo kama hayo ....sifa ya obe ni kupenda churaKwanin nao walikiita kimbunga cha katrina, hawakuona majina mengine au.. wangeita hata hurricane obe
Shem[emoji7][emoji7]
Umenikumbusha mbali sana muhenga mie shemEnzii zile lufufu anatesa kwenye vibanda .....Yule mtoto aloigiza Kama jenny matrix ( mtoto wa John Matrix )![]()
Kwenye "COMMANDO"..moja ya muvi kali zilizotutesa vibanda umiza kwa sasa ndio huyu hapa! Chini![]()
"time is illimatic"
Unakumbuka nini
Maka za weweTeh teh teh.. wacha uoga mkuu, dr lushika yupo
AbeeehShem
Nilikuwa namkubali sana huyu chalii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umenikumbusha mbali sana muhenga mie shem
Hope waendelea vyemaAbeeeh
Fala huyu, wangemchinja na hilo jambia lake.[emoji23] [emoji23]