Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
....kwa hiyo siku hizi umehama sinza? Nilikuwa napita naenda zangu kufanyiwa masaji pale mitaa ya karibu na kwako

....kwa hiyo siku hizi umehama sinza? Nilikuwa napita naenda zangu kufanyiwa masaji pale mitaa ya karibu na kwako

Lyon Lee kaenda kumsaidia anko wangu katekwa mitaa ya kishumundu pale Moshi.Wapi kina lyon, mama mchungaji, obe, sakayo na wengine kibwena
Mfyuuuuu hovyoooooLyon Lee kaenda kumsaidia anko wangu katekwa mitaa ya kishumundu pale Moshi.
BH anasikiliza singeli akimaliza anaenda church
Ndio shemelaAkinote hicho kitu atakuwa wakimchokoza ana tabasamu tuu.
...nani sasa, ngao ya kidonge au ngao ya maji?Huyo leo sijui kama ataingia
Ngao ya kidonge ndio nani na ngao ya maji ndio nani...nani sasa, ngao ya kidonge au ngao ya maji?
Kuna mtu nilikua naongea nae ndio ameniambia kuna mvua kubwa sana
Ngao ya kidonge ndio nani na ngao ya maji ndio nani
Mh we unaishi mtwara huko midizini ndio wapiHata hapa midizini inakunya mbaya sana, yaani hapa namtafuta dalali anirudishie hela japo nusu, alinipangisha nyumba kipindi cha kiangazi
....kwa hiyo siku hizi umehama sinza? Nilikuwa napita naenda zangu kufanyiwa masaji pale mitaa ya karibu na kwako

Haya...zote ziko sawa, utachagua mwenyewe! Hazina tofauti, mimi ni ngao ya spray
Maka ujue wanajiandikia tu watu humu wanapita wanasoma kimya kimya kuna siku lijitu chit chat huko we sinza hawajambo nilimuuliza tu lini nilikwambia naishi huko ooh utani kumbe watu wanapita kusoma huku kimya kimya mm ninapokaa najua mwenyewe na baba d tu jaman msinilazimishe nikae sehemu zenu
Inanifaa wananijua nafananaje me ndio mana sitaki kabisa kuonana na watu humu siku ya siku unakuta lipicha lako limepostiwa kwa mambo kama ya hiviWasikulazimishe bhana, Sinza inakufaa na unapapenda. Hulazimishwi
Kanisani umeenda mke mweeeInanifaa wananijua nafananaje me ndio mana sitaki kabisa kuonana na watu humu siku ya siku unakuta lipicha lako limepostiwa kwa mambo kama ya hivi
Havihusiani kabisa mke mweeKanisani umeenda mke mweee
Me naona utajpunguzia upako bure unaonaje ukienda kupumzikaHavihusiani kabisa mke mwee