makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,430
- 108,449
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo maana huwa tunakumiss
Kwa kuwa mie mtoto mzuri eeh[emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo maana huwa tunakumiss
Haya ila now imepungua...Kuna mtu nilikua naongea nae ndio ameniambia kuna mvua kubwa sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Sorry shemela, nilijisahau tu maana sinza mori imenikaa sana
Mbezi msigani huko mvua vip
Mtajua wenyewe jaman msinichoshe tusichoshaneUkitoa povu wenzio hoi we hujui tuu
Akinote hicho kitu atakuwa wakimchokoza ana tabasamu tuu.Ukitoa povu wenzio hoi we hujui tuu
Huwa nakuja ebu endelea basi mbona episode mojaHaya ila now imepungua...
Karibu mbagala one day
Wacha upeke upeke..[emoji15]
....poa sana mdau, good to see you back bhana.Chief.. vipi hali mzee wa kakala.
Mm sio fake maka aiseeAkinote hicho kitu atakuwa wakimchokoza ana tabasamu tuu.
Msaada huo umekuwa msomali au!?Afadhali unisaidie mwee[emoji23]
Hajajua wenzake wanafanyaga kusudi[emoji15] [emoji15] povu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
LA liquid soap[emoji1] [emoji1][emoji15] [emoji15] povu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
OkyAhahhaha eti kamkataza maka wewe hamna wapo busy
Najua hilo.Mm sio fake maka aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]LA liquid soap[emoji1] [emoji1]
Stay tunedHuwa nakuja ebu endelea basi mbona episode moja
Sikai sinza mm shemela hii mara ya mwisho sirudii tena msinilazimishe nikae sehemu ambayo nikae tuheshimiane
Mimi sio mtani wao yaan mtu nikiona ameniuzi namwambia ukweli atajua yeye mwenyewe kuna matani mengine sio hawajui mtu yanamuumiza vipiHajajua wenzake wanafanyaga kusudi
Najua hilo.
Sikai sinza binamu jaman msinilazimishe nilishafunga hiyo topic jumapili leo....kwa hiyo siku hizi umehama sinza? Nilikuwa napita naenda zangu kufanyiwa masaji pale mitaa ya karibu na kwako
Ndiooo[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kuwa mie mtoto mzuri eeh[emoji85] [emoji85]