shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hata kibaha inanyesha sana, vip sinza moriNasikia mbagala mvua inanyesha sana huko
Hata kibaha inanyesha sana, vip sinza moriNasikia mbagala mvua inanyesha sana huko
Namshukuru allah, ni safi tu jirani.Nzuri jirani, za siku mbili tatu hivi
Sikai sinza mm shemela hii mara ya mwisho sirudii tena msinilazimishe nikae sehemu ambayo nikae tuheshimianeHata kibaha inanyesha sana, vip sinza mori
Iko poa kabisa jiraniVip hali jirani yangu!?
Tupo poa maka hofu ilikuwa kwako tuSalam tu shunie, sijui wewe na wengine humu
Kuna mtu nilikua naongea nae ndio ameniambia kuna mvua kubwa sanaNdio inanyesha ,ila kwani we kakwambia nani?!![]()
Sorry shemela, nilijisahau tu maana sinza mori imenikaa sanaSikai sinza mm shemela hii mara ya mwisho sirudii tena msinilazimishe nikae sehemu ambayo nikae tuheshimiane
Ikukae ndio unilazimimishe nikae huko kila siku sinza sikai hukoSorry shemela, nilijisahau tu maana sinza mori imenikaa sana
Mbezi msigani huko mvua vip
Muulize husna.. naskia anatembea na life jacket kabisa, kujikinga kuzama kwenye mafuriko.Nasikia mbagala mvua inanyesha sana huko
AhahhahahaMuulize husna.. naskia anatembea na life jacket kabisa, kujikinga kuzama kwenye mafuriko.
Kwanin wanakunyasanyasa mdogo wangu.. in sengaz voiceSikai sinza mm shemela hii mara ya mwisho sirudii tena msinilazimishe nikae sehemu ambayo nikae tuheshimiane
Nimekupata shemela wangu shunieIkukae ndio unilazimimishe nikae huko kila siku sinza sikai huko
Wapi kina lyon, mama mchungaji, obe, sakayo na wengine kibwenaIko poa kabisa jirani
Maka ujue wanajiandikia tu watu humu wanapita wanasoma kimya kimya kuna siku lijitu chit chat huko we sinza hawajambo nilimuuliza tu lini nilikwambia naishi huko ooh utani kumbe watu wanapita kusoma huku kimya kimya mm ninapokaa najua mwenyewe na baba d tu jaman msinilazimishe nikae sehemu zenuKwanin wanakunyasanyasa mdogo wangu.. in sengaz voice
Huyo leo sijui kama ataingiaWapi kina lyon, mama mchungaji, obe, sakayo na wengine kibwena
Mie nazidi kuwa poa, kama nyie wote mko poa.Tupo poa maka hofu ilikuwa kwako tu
Wapo, ila leo sijawaona mitaa hiiWapi kina lyon, mama mchungaji, obe, sakayo na wengine kibwena
SawaNimekupata shemela wangu shunie
Poa best angu, tuliza mori.Maka ujue wanajiandikia tu watu humu wanapita wanasoma kimya kimya kuna siku lijitu chit chat huko we sinza hawajambo nilimuuliza tu lini nilikwambia naishi huko ooh utani kumbe watu wanapita kusoma huku kimya kimya mm ninapokaa najua mwenyewe na baba d tu jaman msinilazimishe nikae sehemu zenu