BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Mzuri kwa mazoezi
Hahahha
Natuma mamaBasi nitumie wewe Shunie hajatuma ..na huu wasasa
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante Obe ,ila kwangu muziki haujafunguka..nakusanya nyimbo za mazoezi asubuhi nilipata mbili
.naendelea
.ubarikiwe![]()
Asante anko sina la kuongezaa ...mm nshapigiwa
Shunie nitumie hizi nyimbo whatapp please nalala kesho niwahi mazoezi
Pole na majukumu ya leo unapojiandaa kupumzika tafadhali imba wimbo huu kwa kuutafakari*

ShemejiBaby
Huyu naona anataka niachikeBaby wako
Thanks darling daughter nimepata Love you,Goodnight bado singelNatuma mama

Asante ulifunguka baadaeOh, pole. Hebu ngoja niangalie tena kama naweza kuupandisha bila shida kwako
Huyo huyoTetra huyu huyu rafiki au
Mama nimetuma singeli mda si mrefu khaaaThanks darling daughter nimepata Love you,Goodnight bado singel![]()
![]()
♀️
♀️
Ameena mamaPole na majukumu ya leo unapojiandaa kupumzika tafadhali imba wimbo huu kwa kuutafakari*
1. Kaa nami, ni usiku tena;
Usiniache gizani, Bwana;
Msaada wako haukomi;
Nili peke yangu, kaa
nami
2. Siku zetu hazikawii
kwisha,
Sioni la kunifurahisha;
Hakuna ambacho
hakikomi,
Usiye na mwisho kaa
nami.
3. Nina haja nawe kila saa;
Sina mwingine wa
kunifaa;
Mimi nitaongozwa na
nani
Ila Wewe?
Bwana kaa nami.
4. Sichi neno uwapo karibu;
Nipatalo lote, si taabu,
Kifo na kaburi haviumi,
Nitashinda kwako, kaa
nami.
5. Nilalapo nikuone wewe,
Gizani mwote nimulikiwe,
Nuru za mbinguni
Hazikomi,
Siku zote kaa nami.
*Usiku mwema*NAWAPENDA SANA![]()
![]()

usiku mwema na kwako pia Yesu akulinde na damu yake tunakupenda pia
Hivi una nini lakini...hii whatsapp ukitumiwa unalipia? Au ni bure? Je inakuja kwenye simu? Hebu nijulishe maana tatizo langu unalijua, nakuwaga wa mwisho kujua
Kheeee♀️
♀️ hajakupigia nani sasa huu nimeshakutumia ngoja nitafute huo utatoa hutoi ni binamu ndio ananiharibia mama au mbona sielewi mimi

Na mm kimenikuta kwa njiaaHuko kwenu veeep huku kwetu kitu kimeanza kwa mbaliii
Sms full...na hawaishii kukupigia tu, wanakutext pia. Angalia tu
Safi kabisa shemela wangu, za weweShemela za jioni